Elections 2015 Apson Mwang'onda, nzi aliyejaribu kubaka demokrasia ya CCM na Tanzania bila ya mafanikio

Hakika. Na mapambano yalikuwa makubwa sana kuliko watu walivyokuwa wanaona. Tumshukuru Mungu tumefika hapa kwa amani. Lowasa na genge lake si watu kabisa. Ni zaidi ya wanyama. Tena huyu Apson ndo kabisaaaa!

Tunashukuru nchi iko katika mikono salama. Kama tungeangukia kwenye mikono ya wale majambazi sijui hali ingekuwa mpaka sasa!
 
Tibaijuka amesema hawezi kuwashukuru wananchi wa jimbo lake kwa yeye kuwa Mbunge anazishukuru fedha zake kwani ndio zimempatia huo Ubunge, hiyo ndio CCM. Nasikia na kula Igunga Kafumu na yeye amewaaga wananchi wa Igunga kuwa kwa kuwa hawamtaki lakini ametumia fedha zake na kufanikiwa kupata Ubunge hivyo wasimtegemee anaondoka zake kuishi na familia yake Kule DSM.
Hao ndio wabunge wa CCM waliopita awamu hii na wako wengi sana wa aina hii, waliowachagua wataisoma namba sisi ambao hawakuwa chaguo letu tunaendesha maisha kama kawaida.
 
Teh teh teh me mwenyewe najiuliza hawa malofa wanalalamika wameibiwa... Wameibiwa vipi?

Kile kikundi kilichovamia chadema kwa dili la urais tu yaani do or die ndio kimewaangusha. Wakawasahau chadema asili na kuamini eti Sumaye anafaa kuwa kampeni meneja! Ziro awe kampeni meneja halafu utegemee ushindi bavicha ilikuwa wapi? acha waisome namba.
 
Nilivyoona kichwa cha habari tu nikajua mkuu Lizaboni kwenye ubora wake siku zote unasimamia kwenye ukweli.
 
Huyu jamaa ni nani katika tz hii bana mnatuuzi kwa kutuwpotezea muda wa kushangilia ushindi wa shein zenji
 
Uchaguzi umeisha Mkuu... Kuendeleza haya mapambano ya matusi, kejeli, kashfa hayatasaidia Taifa kurudi katika umoja wa awali...

Haya mambo kwa sasa hayana nafasi. Lets focus kwenye kujenga nchi na kuziba ufa uliojitokeza

Mkuu umenena.It was a tragedic journey.Kutokana na yote yaliyotokea,yapo ya kweli na mengine ya uzushi lakini kwa mustakabali wa taifa letu,tunapaswa kuangalia yale ambayo yanatuweka pamoja zaidi.
Anachokifanya Lizaboni ni kujenga chuki na migongano isiyo na sababu.
 
Tatizo ni mitandao au nini?Ukifuatilia utakuta walioumizwa na kundi moja nao wamejificha kwenye kundi jingine.
If you are planning for revenge,prepare two graves.
 
Uchaguzi umeisha Mkuu... Kuendeleza haya mapambano ya matusi, kejeli, kashfa hayatasaidia Taifa kurudi katika umoja wa awali...

Haya mambo kwa sasa hayana nafasi. Lets focus kwenye kujenga nchi na kuziba ufa uliojitokeza

Mkuu umenena.It was a tragedic journey.Kutokana na yote yaliyotokea,yapo ya kweli na mengine ya uzushi lakini kwa mustakabali wa taifa letu,tunapaswa kuangalia yale ambayo yanatuweka pamoja zaidi.
Anachokifanya Lizaboni ni kujenga chuki na migongano isiyo na sababu.
 
Watanzania kwa kupenda kuokota laana hats zile zisizowahusu. Mwandishi Wa Uzi huu Nina hakika no Kijana Mdogo na alitakiwa awe anachapa Kazi na si kutukana watu wanaoweza kumzaa kama Mzee Apson. Sitetei MTU ila nafhani sasa Mzee apson atumie haki yake kikatiba kukifunga hiki kijamaa
 
Huyu lizaboni ni akili ndogo inayojaribu kuinfluence zile Kubwa. No kichefichefu. Aliye na mawasiliano na Mzee Apson hebu mwambie a collect ushahidi huu hiki kijamaa kipotelee lupango
 
Back
Top Bottom