Elections 2015 Apson Mwang'onda, nzi aliyejaribu kubaka demokrasia ya CCM na Tanzania bila ya mafanikio

Huna lolote ccmmm imeshinda kwa wizi kila mtu anslijua hilo... lowasa kawatoa kamasi vibaya sana...hapa unaleta maneno ili kujustify wizi wenu... kama taarifa zote milikua nazo vyombo vya ulinzi vilifanya nn!?? Ww unafurahi lowasa kukosa urais sababu uliempenda.. meembe alikosa.. hamna zaidi ya hilo... wizi umejionyesha wazi wazi..hata yaliyotokea zanziba yanathibisha wizi wenu ulio kubuhu

Aaaaaah popote ulipo tupo bdo uraisi wa fifa
 
Huna lolote ccmmm imeshinda kwa wizi kila mtu anslijua hilo... lowasa kawatoa kamasi vibaya sana...hapa unaleta maneno ili kujustify wizi wenu... kama taarifa zote milikua nazo vyombo vya ulinzi vilifanya nn!?? Ww unafurahi lowasa kukosa urais sababu uliempenda.. meembe alikosa.. hamna zaidi ya hilo... wizi umejionyesha wazi wazi..hata yaliyotokea zanziba yanathibisha wizi wenu ulio kubuhu

We nyumbu kweli! kama ccm ingekuwa ina uwezo wa kuiba kura mawaziri wake 5 wangepigwa chini!? Na mbona huko Moshi/Arusha ambako Lowasa kapata kura zake mnazikubali? we hujui mlipokosea ni pale mlipomkaribisha fisadi kuwa mgombea. Tena ashukuru hata kupata kura hizo maana watu walikuwa wanasema kabisa wakiwa katika foleni kuwa urais watampigia Magufuli na wabunge na madiwani wataamua wenyewe. Huo ndio ukweli Lowasa jamani haaminiki hata na wapiga kura wa ukawa! ukweli ndio huo acha kudai mmeibiwa. Mmeibiwaje?
 
Wewe ni kambale mzawa na mla udongo!kichwa chako kama cha mboro tu,kinakuwa na akili moja tu ili kifanye kazi.
Ndo nyinyi wataalam ----- musiojua hata kuchagua pa kuwasha,hivi kwa hilo bichwa lko la kahawa unadhani wizi unaweza kufanywa sehemu ambazo munakataliwa?
Paka wa kafara wewe!
 
Jina lako tu ni mwana wa ma-K zani ndo maana kichwa chako kinafanya kazi kwa K tu,saburi mkubwa wewe UMSLOPAGAZI mwana wa MA-K ,MAZANI
 
Mkuu, kwa upande wako unaona Apson alikuwa sahihi kuhonga wajumbe wa NEC, CC na MM ili tu Lowasa awe Rais? Pia unaona kuwa Apson alikuwa sahihi kuajiri vijana wa IT ili wahack mfumo wa Tume?
Lizaboni nigeshangaa sana kama hungemtukana Apson safari hii kama ilivyo kawaida yako!!!
 
Usituletee hadithi za Abunuwasi na Alinacha Lizaboni. Subirini ukweli utajulikana na si propaganda zenu.
 
Last edited by a moderator:
Kikweli sijamliza kusoma andiko lako nimeishia ulipoandika nape na.makonda ni vijana machachari..are you insane??
 
Lizaboni si vyema kumtukana Col. Mwang`onda. Ameshiriki mengi ya Nchi hii.

Amejitoa kuanzia Vita ya Kagera na mengi ya kizalendo kwa ajili ya Taifa lake. Usimdhalilishe kwa sababu upo nyuma ya keyboard na hao wanaokupa jeuri.

Sina mlengo wa kichama, nimekupa angalizo. Ukiona la kipuuzi liache.
 
Last edited by a moderator:
Haya Mambo ya kuitana cockroaches sijui inzi haya ndo mambo yaliyochochea machafuko rwanda... msijitoe ufahamu na mambo ya siasa zenu
 
Vijana mnaoelekea chuo pitieni uzi huu na muondokane na tabia za mihemuko
 
Mkuu, kwa upande wako unaona Apson alikuwa sahihi kuhonga wajumbe wa NEC, CC na MM ili tu Lowasa awe Rais? Pia unaona kuwa Apson alikuwa sahihi kuajiri vijana wa IT ili wahack mfumo wa Tume?

kwenye IT ili uweze kuhack kitu ni lazima kiwe shared kwanza,,,

sasa unaweza kutwambia hao NEC huo mfumo wao walishare na nan mpk kuwe na possiblity ya hackers kufanya yao??

as i know NEC mfumo wao wa data za uchaguz ulitakiwa kuwa kwenye storage ambapo huwez kuhack

WATAALAM WA IT MKUJE HAPA
 
We nyumbu kweli! kama ccm ingekuwa ina uwezo wa kuiba kura mawaziri wake 5 wangepigwa chini!? Na mbona huko Moshi/Arusha ambako Lowasa kapata kura zake mnazikubali? we hujui mlipokosea ni pale mlipomkaribisha fisadi kuwa mgombea. Tena ashukuru hata kupata kura hizo maana watu walikuwa wanasema kabisa wakiwa katika foleni kuwa urais watampigia Magufuli na wabunge na madiwani wataamua wenyewe. Huo ndio ukweli Lowasa jamani haaminiki hata na wapiga kura wa ukawa! ukweli ndio huo acha kudai mmeibiwa. Mmeibiwaje?

Teh teh teh me mwenyewe najiuliza hawa malofa wanalalamika wameibiwa... Wameibiwa vipi?
 
Back
Top Bottom