Apson Mwang'onda ni Nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Apson Mwang'onda ni Nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Jan 10, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Naomba kuuliza Huyu apson ni nani ndani ya TZ.
  Anamiliki kiwanda cha mikate mbeya(furah bakery)
  Ana heka za kutosha za kulima kahawa,
  Mwenye Kumjua zaidi Anisaidie
   
 2. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Cv yake plz.
   
 3. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  Boss wa uslama wa Taifa Tanzania!
   
 4. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Alikuwa Boss wa usalama wa Taifa, mwanae Tom alikujaga kugombea ubunge msimu uliopita wakamwaga na familia yake ya Kizungu
   
 5. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  aliyekuwa bosi wa usalama wa taifa.
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,574
  Likes Received: 18,511
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo Zubeda Mchuzi, kwa hiyo mtu akimiliki kiwanda cha mikate na heka za kutosha inabidi auliziwe watu tumjue?.
   
 7. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Msimamizi wa utekelezaji wa uhamishaji wa mapesa ya EPA
   
 8. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,500
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Dangerous!!
   
 9. kussy

  kussy JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ni mzalendo ambaye ameifanyia mengi nchi yake, mwacheni huyu mzee apumzike
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...