Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,415
- 4,869
bado tu unamdharau lizaboni???Nimekudharau sana Lizaboni kwa kuihusisha CHADEMA na Mwivi Lowasa
bado tu unamdharau lizaboni???Nimekudharau sana Lizaboni kwa kuihusisha CHADEMA na Mwivi Lowasa
Alisema ukweliLizaboni katika ubora wake
Imekuwa kweli na si udakuUngepeleka habari hii magazeti ya udaku ingesomwa vizuri
Lizaboni Mamvi au Mapadlock amekulipa ngapi kwa kupotosha watu?Najua mnatafuta kura lakini siyo kwa kuharibu taswira ya vyama vya upinzani kwa sababu ya vijisenti vidogo unavyopew.Bila CCM/Lowassa Tanzania inawezekana.
Huyo Magufuli hana tofauti na huyo Lowassa .Watoto wa mama mmoja baba mmoja.Na amesema fika atalinda maslahi ya watawala waliopita na CCM hajasema atalinda maslahi ya Taifa lake.Kwa uhakika hata wewe wajua hatufai.
Tunahitaji Rais nje ya CCM huyo Lowassa mtafutieni nafasi ACT alikokafibishwa.
Gia anganisidhani kama CDM watakua that cheap
Sana tenabado tu unamdharau lizaboni???
sasa mbona povu lilikutoka kowassa kuhusishwa na Chadema ...?Sana tena
Alikuwa Motoni/ Akhera (CCMijizi) by that timesasa mbona povu lilikutoka kowassa kuhusishwa na Chadema ...?
Msimamo upi ?Vipi, Leo tena bado unamsimamo huo or?
Vipi Kamanda, hii thread unaisemaje kwa hali ya sasa?Lizaboni Mamvi au Mapadlock amekulipa ngapi kwa kupotosha watu?Najua mnatafuta kura lakini siyo kwa kuharibu taswira ya vyama vya upinzani kwa sababu ya vijisenti vidogo unavyopew.Bila CCM/Lowassa Tanzania inawezekana.
Huyo Magufuli hana tofauti na huyo Lowassa .Watoto wa mama mmoja baba mmoja.Na amesema fika atalinda maslahi ya watawala waliopita na CCM hajasema atalinda maslahi ya Taifa lake.Kwa uhakika hata wewe wajua hatufai.
Tunahitaji Rais nje ya CCM huyo Lowassa mtafutieni nafasi ACT alikokafibishwa.
Huna lolote mchumia tumbo tu, endelea kubrash viatu vya uliyemkataa sasa.Msimamo upi ?
Wa kuya dis Ma CCMijizi ?
IF YES THEN YES
hahahahahah haki ya Mungu, maandishi na ushahidi toshaaaaaNimekudharau sana Lizaboni kwa kuihusisha CHADEMA na Mwivi Lowasa
hahahahahahahhahahhhah uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiLizaboni Mamvi au Mapadlock amekulipa ngapi kwa kupotosha watu?Najua mnatafuta kura lakini siyo kwa kuharibu taswira ya vyama vya upinzani kwa sababu ya vijisenti vidogo unavyopew.Bila CCM/Lowassa Tanzania inawezekana.