Elections 2015 Apson Mwang'onda afanya vikao vya kuchangisha fedha Oysterbay ili Lowasa ahamie CHADEMA

Ona jinsi Mbowe anavyopiga dili za hela kupitia chama cha mkwewe. Halafu haya ma ubongo sifuri, Bavicha yanalia humu kuwa hicho Chagadema kitawakomboa. Mungu akunyime vyote akupe walau chembe moja tu ya akili
 
Lizabon nimekudharau sana leo hizi habari ni za uzushi hazina chembe yoyote ya ukweli ulimpinga Lowasa ni fisadi basi hata Magufuli ni fisadi mbona humpingi?Au bilioni 263 kwenye wizara ya ujenzi kuliwa siyo ufisadi?
 
Last edited by a moderator:
Lizabon kuna uzi humu mdau amekkwita ww ndo makonda na wala hukukanusha?...mie sio mpnz wa lowasa lakini kwa jinsi mnavyo mfungulia uzii mpaka masikio yanachoka kusikiliza hiyo single...
Hamna lingine la kuongelea?...hizo stori umeadisiwa na rafiki huna ushahidi unaleta watu wajadili umbeya....mshamkata jina mwacheni aamue mustakabali wa maisha yake...
Alizaliwa pekeyake na atakufa pekeyake.....akisema haondoki ndani ya chama lenu la mafisadi mtasema anaogopa kupotezwa kisiasa,akisema anamuunga mkono magufuli mtamsema anajikomba aje apewe post ya ubalozi au....sasa mkisikia anataka kuondoka mnaingiwa na hofu...mweeee
 
Sumu yako ni kali,wewe ni nyoka mweusi kaka ake na Lucifer,yaani kila wakati unamchimba Lowassa ivi kakukosea nini kikubwa cha ajabu kuzidi wagombea wote
 
Kinachofurahisha ni kwamba pamoja na Lowasa kuwekwa pembeni na ccm lakini nyota yake bado iko juu

Kweli Mr.Nice Guy....mamvi nyota yake imepaa sanaa maana kila kona ya mitandao ya jamii ni lowasa lowasa...humu ndani ndo balaa kila uzi mpya ukiletwa lazima utamhusu lowasa..

mimi sio fan wake hata kura yangu asingepata endapo angepitishwa na ukoo wake wa panya..lakini tumwongelee mambo ya ukweli nnje na hapo jukwaa litakuwa sawa na facebook tunajadili majungu
 
wadau amani iwe kwenu.

Taarifa nilizopata hivi punde kutoka kwa mdau wangu zinasema kuwa apson mwang'onda, mwenyekiti wa wezesha lowasa aende ikulu ameanza vikao vya kuwashawishi baadhi ya wafanyabiashara wachangishe fedha ambazo zitawezesha kukamilisha deal la lowasa kuhamia chadema. Inadaiwa kuwa apson ameamua kufanya hivyo baada ya lowasa kutoswa ndani ya chama chake, ccm ambapo alishindwa hata kufika tano bora.

Taarifa zaidi zinasema kuwa, wafadhili wakuu wa lowasa ambao ni nazir karamagi, rostam aziz, reginald mengi na yusuph manji wamesitisha kuendelea kutoa fedha baada ya jitihada zao za kuhakikisha lowasa anapeperusha bendera ya ccm kukwama. Kwamba, wafadhili hao wametumia zaidi ya shilingi bilioni 50 ambazo hata hivyo manufaa yake hayajapatikana. Kutokana na hali hiyo, wafadhili hao wametoa masharti kwamba ni lazima jitihada zifanyike ili lowasa ahamie chadema na ateuliwe kupeperusha bendera ya ukawa ndipo waendelee kutoa fedha. Kwamba, kwa vile lowasa ameonesha nia ya kutafuta mabadiliko nje ya ccm baada ya jitihada za ndani kukwama, wao hawana tatizo ikiwa apson atawahakikishia kuwa kuhamia kwa lowasa chadema kutaenda sambamba na kupeperusha bendera ya ukawa kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Kwa mujibu wa chanzo changu tayari apson amefanya kikao na mwenyekiti wa chadema, freeman mbowe na wamekubaliana kwamba, ili lowasa ahamie chadema na hatimaye kupeperusha bendera ya ukawa, mbowe apewe shilingi bilioni kumi ili afanikishe mpango huo. Kwamba, ikiwa fedha hizo zitapatikana, mbowe atashawishi viongozi wenzake ndani ya chadema na ukawa ili wampokee lowasa na kwamba ikiwa deal hilo litafanikiwa kabla ya mwezi wa nane, lowasa ndiye atakayepeperusha bendera ya ukawa. Aidha, taarifa zinasema kuwa ikiwa viongozi wa ukawa hawataafiki mpango wa lowasa kupeperusha bendera ya ukawa, chadema itajitoa ndani ya umoja huo na kwamba itawafukuza viongozi wake ambao wataonesha kupinga mpango huo.

Kutokana na masharti hayo, apson mwang'onda ameamua kutafuta vyanzo vingine vya fedha ili kufanikisha mpango huo. Majira ya mchana wa leo, apson mwang'onda amekutana na mmiliki wa supermarket za ( tsn), farouk bonghoza kwenye moja ya maduka yake yaliyopo oysterbay shopping center, kinondoni dar es salaam. Aidha, apson pia amepanga kukutana na wafanyabiashara wengine na kwamba ana matumaini kuwa kiasi hicho cha fedha kitapatikana ndani ya wiki hii kwa vile anayo akiba zaidi ya bilioni tano ambazo zilipangwa kutumika wakati wa kampeni na bado zipo kwenye akaunti maalum iliyofunguliwa kwa madhumuni hayo.

Wadau, huyu ndiye apson mwang'onda, shushushu ambaye ameamua kwa kila njia kuhakikisha kuwa fisadi anaingia ikulu. Kwa sasa anahaha kuhakikisha kuwa fedha hizo bilioni 10 zinapatikana ili kufanikisha deal hilo. Wakati apson anahaha kutafuta fedha hizo, taarifa zinasema kuwa tangu juzi hawajawasiliana na lowasa. Kwamba, lowasa amemnunia apson kutokana na hapo awali alihakikishiwa kuwa njia ni nyeupe ya kwenda ikulu na sasa ameshangaa kuona ameshindwa hata kufika tano bora.

Apson mwang'onda akiwa na farouk bonghoza leo oysterbay shopping center
View attachment 267808

binadamu unaweza kuwa mjinga lakini huwezi kuwa mjinga kama huyu lizabonio!!??
 
Back
Top Bottom