Elections 2015 Apson Mwang'onda afanya vikao vya kuchangisha fedha Oysterbay ili Lowasa ahamie CHADEMA

Kwa vile Lowasa ameshindwa sasa Apson hana uhuru wa kuendelea na maisha yake binafsi!!?? Tuwekee ushahidi kuwa alikuwa hapo kuomba pesa!!!
Ushahidi gani unauhitaji zaidi ya huu niliokupa? Subiri mkakati utimie
 
Si mnasema kuwa EL ni kipenzi cha watu sasa si akagombee uraisi hata kupitia Jahazi Asilia!
 
Si mnasema kuwa EL ni kipenzi cha watu sasa si akagombee uraisi hata kupitia Jahazi Asilia!
Tehetehetehetehe. Thubutu! Lowasa hana uwezo wa kwenda huko. Anataka hivi vyama ambavyo watu wametoa jasho lao kuvijenga then yeye ajitutumue kuwa ni maarufu
 
Lizaboni
Hizi nguvu mngetumia kuwakamata magaidi walioua ndugu zetu staki Shari,nyie na magamba mwenzenu mnawaza kujaza matumbo yenu na kwenda kumwaga kinyesi chenu feri,acheni us....alshabaab wanataliza huku
 
Last edited by a moderator:
attachment.php
 
Mkuu, hata nilipoweka habari kama hizi hapo awali mlibeza ila mwisho wake mkanipigia saluti

mkuu huku unakoenda siko...itoshe kwamba mpango wa lowasa kukatwa umeafanikiwa na wewe ulipnga lowasa kuteuliwa basi endelea na huyo aliyepitishwa.....acha kuchonganisha na kupotoshwa watu...
 
Lizaboni
Hizi nguvu mngetumia kuwakamata magaidi walioua ndugu zetu staki Shari,nyie na magamba mwenzenu mnawaza kujaza matumbo yenu na kwenda kumwaga kinyesi chenu feri,acheni us....alshabaab wanataliza huku
Wapo wenye kazi ya kupambana na magaidi. Ila mie sina majukumu hayo. Nipo huku Songea nalima magimbi
 
Back
Top Bottom