Apson Mwang'onda afanya vikao vya kuchangisha fedha Oysterbay ili Lowasa ahamie CHADEMA

njiwa

njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,841
Points
2,000
njiwa

njiwa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,841 2,000
Lizaboni Mamvi au Mapadlock amekulipa ngapi kwa kupotosha watu?Najua mnatafuta kura lakini siyo kwa kuharibu taswira ya vyama vya upinzani kwa sababu ya vijisenti vidogo unavyopew.Bila CCM/Lowassa Tanzania inawezekana.

Huyo Magufuli hana tofauti na huyo Lowassa .Watoto wa mama mmoja baba mmoja.Na amesema fika atalinda maslahi ya watawala waliopita na CCM hajasema atalinda maslahi ya Taifa lake.Kwa uhakika hata wewe wajua hatufai.

Tunahitaji Rais nje ya CCM huyo Lowassa mtafutieni nafasi ACT alikokafibishwa.

hahahahahahaha
 
Z

zithromax

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2016
Messages
1,512
Points
2,000
Z

zithromax

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2016
1,512 2,000
Dar mibawacha na bavicha vina roho ngumu,
Lizabon hakika wew ni kichwa ,sijawahi kutia wasiwasi ,mada zako
 
Mr.Junior

Mr.Junior

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Messages
9,637
Points
2,000
Mr.Junior

Mr.Junior

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2013
9,637 2,000
Kwa bwana Yesu kila goti litapigwa.
 

Forum statistics

Threads 1,343,114
Members 514,943
Posts 32,774,245
Top