sijakuelwa...
Atakuwa sehemu sehemu anakula bata!
Hapa lazima watu wawajibike haraka sana kuanzia waziri, naibu wake, mkuu wa majeshi, mkuu wa base ya mbagala na askari wote wa kituo hicho. Inatia hasira kwa uzembe huu uliotokea na kugharimu maisha ya watu, mali zao nk. Hivi JK upo wapi? mbona hutangazi hali ya hatari?
Hatutaki kusikia eti mnaunda tume kuchunguza mlipuko huu zaidi ya kuwawajibisha wote waliohusika. Wadanganyika tumechoka na ubabaishaji! na tume zisizoisha. Mheshimiwa JK angalia au iga wakubwa wenzio wanavyo-act immeadiatealy pindi janga kubwa linapotokea.
Angalia mfanao wa swine flu ilipotokea tu UK, USA na kwingineko wakuu wa nchi hizo haraka sana walienda kwenye media na kuelimisha umma. Huu sio wakati wa akina Nchimbi kuongea kwenye media zaidi ya kujiuzulu na kutoa maelezo kwa wadanganyika.
Mkuu wa nchi angerudi akaoengee na wananchi kuhusu tukio na kuwatuliza
Kenyan television! hawa wakoloni nao .....habari zetu mpaka watoe kwa vibaraka wao!
BBC News Online
An ammunition dump on the outskirts of the Tanzanian city of Dar es Salaam has exploded, causing a huge fire, panic and the ordering of a mass evacuation.
Kenyan television reports say several people have been killed and a police commander confirmed at least one death from the blasts at a Mbagala army base.
Najiunga nawe katika kumshukuru Mungu kwa familia yako kusalimika.Nasikitika kwa yaliyotokea, familia yangu imekimbilia Mkuranga, wanaogopa kurudi. Kwa wale waliokwenye tukio kukiwa na usalama njulishe nipate kuwashauri warudi. Mimi niko Mtwara sasa, JF ndio chanzo changu cha habari kwa sasa.
Asante sanaTzPride kazi ya kuhamisha watu Mbagala bado inaendelea wanadai njia pekee ya kuzuia mabomu zaidi ni kuyaacha hayo yote yalipuke. So watu wanatakiwa kukaa mbali hadi watakapopewa taarifa zaidi.
Mungu mkubwa nduguNajiunga nawe katika kumshukuru Mungu kwa familia yako kusalimika.