At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,513
- 3,554
Habari zenu wanajamii
Appreciation To: Dr John Pombe Joseph Magufuli Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa hatua alizochukua kwa ajili ya kupambana na COVID-19, Hakika atakumbukwa kwa kuwa ni uamuzi sahihi sana. Na ni wa kupigiwa mfano na kila mmoja na kwa mataifa mengine yakaribie kujifunza jinsi ambavyo Tanzania imeweza kukabiliana na ugonjwa huu huku ikiendelea na shughuli za kawaida. According to waziri wa afya “Tujifunze kuishi na ugonjwa huu, huku tukiendelea kuchukua tahadhari” .
Kwanza kabisa nipende kudeclare interest, mimi nu miongoni mwa watu ambao wanakoshwa sana na hatua ambazo raisi JPM amekuwa akizichukua, juu ya mambo mbalimbali. Ambayo yakileta mafanikio na maendeleo juu ya taifa yamekuwa letu Tanzania.
Pili nipende kuwaasa ndugu zangu hasa wanaufipa ambao huwa hawapendezwi pale mheshimiwa raisi anaposifiwa, napenda kuwaambia mahala hapa pia ni hapawafai ningependa kuwaasa waishie hapa ili wasijikutibua siku yao. Kama unaweza endelea na karibu kwa maoni yenu.
Kwa mantiki hiyo nipende kusema kwamba kwa jinsi taifa letu la Tanzania chini ya mheshimiwa raisi JPM inavyoshughulikia janga hili la CORONA kwa hakika inafanya vyema ni moja ya hatua madhubuti sana ambazo serikali imeweza kuzichukua. Ni moja za hatua bora sana. Nasema hivyo ni kwa sababu zifuatazo.
1. Ugonjwa huu mpaka wakati huu bada tiba yake wala chajo ni hazijapatikana. Sasa kwa mantiki hio basi kuchukua hatua kali kama vile wanavodai upinzani kwa maoni yangu ni kama kuendelea kupoteza muda na kujilisha upepo. Pia kwa hatua ambazo raisi Magufuli kape notationdekeza naona yuko sahihi na kaona mbali sana kaitazama mbele ya Tanzania itakuwa wapi endapo akichukua hatua za kukurupuka kama wanavodai wapinzani.
2. Hii itasaidia kuokoa na kuendeleza uchumi wa nchi, kwa sababu simply watu watakuwa wakiendelea kufanya kazi hivyo kupelekea kutodorora kwa uchumi kama vile nchi nyingi sasa zinavyohaha au zitakavyohaha hasa nchi bazo zimechukulia huli jambo kwa pupa.
3. Kwa sasa maeneo mengi ya Tanzania hasa nyanda za juu kusini ni msimu wa kukaribia kuvuna, kwa hiyo ikitokea kutangazwa kwa lockdowm itapelekea hawa wakulima kuwa na wasiwasi mazao yao kuvunwa na wengine. Pia kutokana na hali halisi ya Tanzania na serikali ni masikini kwa hiyo ni kujidanganya kusema kwamba serikali itaweza kutoa msaada wa chakula kwa wananchi walio wengi. Ambapo ikitokea wengine wakakosa chakula inaweza kupelekea kuongezeka kwa matukio ya uhalifu. Ili kuzuia hili kufanya wati waendelee na kazi zao ni njia bora sana ya kuzuia hili kutokea.
4. Ukizingatia kwa sasa nchi nyingi ambazo zilifanya lockdown kwa sasa zinaangalia namna ya kuiondoa hio lockdown na kujifunza namna ya kuishi na COVID-19. Kwa hili mimi nipende kuwaambia hao mataifa kwamba waje Tanzania wajifunze namna ya kuishi na CORONA kwa kuwa hili Tanzania wameweza kwa kweli na nipende kutoa kongole kwao.
5. Pia kwa kumalizia mazingira ya nchi ya Tanzania ni vigumu kutumia mbinu ambazo Mbowe na timu yake anapendekeza serikali ya Tanzania itumie, na ilihali wanajua hali halisi ya nchi ya Tanzania kwamba ni ngumu kuziapply. Lengo lao ni kutafuta loophole ili baadae waanze kuilamu serikali kwamba ilishindwa kuhudumia watanzania. Kwa hili nampa heko mheshimiwa raisi JPM.
Kwa hakika zipo sababu nyingi ambazo zinanifanya niweze kukubaliana na uamuzi wa raisi wangu JPM.
Tuendelee kupiga kazi huku tukiendelea kuchukua Tahadhari.
CORONA ipo ni ugonjwa hatari, tujikinge.
Vaa barakoa, nawa na maji tiririka kwa sabuni.
Kama huna mishe jitahidi utulie nyumbani.
Kwenye mkusanyiko jitahidi ukae umbali angalau mita moja mpaka mbili.
Ukiona dalili tajwa za CORONA, chukua tahadhari zaidi uwakinge wengine, kisha chukua hatua uwahi hosipitali.
Viva MAGUFULI Vivaa.
Viva CCM Vivaa.
Kidumu chama tawala.
At Calvary.
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
Eti nabakia Africa.