Applied microeconomists kwenye donor programs zinazo involve some kind of intervention at the household level

cvb-1

Member
Dec 14, 2018
41
125
Siku hizi donors wanapenda kuwa tumia KPMG, Deloitte na PWC, kuanzisha implementation ya donor programs. At least 100 million US Dollars ya donor funding imepitia route hii.

Mara nyingi hawa wakina Deloitte wana ajiri MBAs kwenye hiyo miradi.

Hii haina tatizo. Ila ni vizuri wa ajiri pia watu waliosomea applied microeconomics (at Masters or PhD level) hususan kwenye miradi inayo husisha some kind of intervention at the household level. Especially those interventions that aim to reduce household poverty directly or indirectly.

Hii ni kwa sababu hawa applied microeconomists wako very suitable kwenye knowledge ya intervention at the household level.

A donor funded trust inayo specialise kwenye area fulani, ni vizuri iajiri applied microeconomist mwenye knowledge ya hiyo area. Iwe agriculture, financial inclusion, education, health, domestic trade, international trade, civic space etc.

Kwa mfano a donor funded Trust inayo specialise kwenye kilimo, ni vizuri iajiri applied microeconomist mwenye knowledge ya agricultural households.

A donor funded trust inayo specialise kwenye financial inclusion ni
vizuri iajiri applied microeconomist mwenye knowledge ya financial inclusion.

Kuto kuwa ajiri hawa applied microeconomists au kuwa ajiri na kuto kuwa sikiliza kuta punguza ufanisi wa hizo household level interventions.

Kama miradi ina involve fedha nyingi sana (millions of US Dollars) ni vizuri kuajiri watu waliosomea applied microeconomics at PhD level. Watu hawa wanaweza kuajiriwa kama staff au kama consultants.

Ni vizuri pia watu wenye Bachelors na Masters wasi wanyanyapae na kuwa dhalilisha watu wenye PhD kwenye donor programs. Na watu wenye PhD wasi wadharau na kuwa dhalilisha watu wenye Bachelors na Masters kwenye hizo programs.

Wote wafanye kazi vizuri kwa kushirikiana na kuheshimiana.
 

cvb-1

Member
Dec 14, 2018
41
125
Wako watu wengi waliosoma microeconomics at Masters level.

Ila waliosoma applied microeconomics as a course at Masters level nadhani ni wachache sana au hakuna. Labda wawe wamefanya course inayoangalia an aspect of applied microeconomics.

Au labda hao waliosoma microeconomics at Masters level wajielimishe kwenye applied aspects (via kusoma journal articles au vitabu).

Au wafanye PhD ambayo ina specialise kwenye one aspect of applied microeconomics kama household poverty, or other household dynamics kama household labour supply, household human capital, household savings and investment decisions, intra-household dynamics au agricultural households dynamics as shown by agricultural household models.

Other aspects of applied microeconomics zina angalia firm dynamics. Hizi zinaweza kutoa mwanga kwenye donor programs zinazo intervene at the firm level ili ku positively influence their behaviour. Iwe kwenye agricultural sector, health, education, financial inclusion etc.

Kwa mfano miradi ya making markets work for the poor (M4P), miradi ya treated mosquito nets, mbolea, mbegu bora, micro insurance, micro finance, digital finance, ICT, education sector learning material and equipment etc.
 

cvb-1

Member
Dec 14, 2018
41
125
Maneno mengine ya kiingereza (hususan yale ya kitaalamu) ni magumu kutafsiri kwa kiswahili.
 

cvb-1

Member
Dec 14, 2018
41
125
UDSM naona wanatoa MA Applied Economics, yenye modular course ya applied microeconomics (amongst other courses).
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom