Application zinazotumia Internet ila hazihitaji data

Life starts at 45

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
974
932
Habari za saa hii wakuu,

Kuna baadhi ya application ambazo zinatumia internet ila hazihitaji data(MB kutoka kwa ISP) mfano Nala.

Sasa swali langu jee behind the scene hawa jamaa wanaliwezeshaje hili jambo

Chief-Mkwawa
 
Nala siwajui mbona
Mi najua Facebook wana mpango wao unaitwa Free basics, hapo uta surf bure baadhi ya website

Na kuna baadhi ya betting site kama betpawa, betika, sportpesa, Pmbet unatumia free bila data kwa baadhi ya mitandao ya simu kama voda
 
Hao si kwamba haitumii internet ni kwamba mitandao husika imekubali hizo apps na websites kuaccess data unatumia lakini hulipishwi. Kama we mfuatiliaji mzuri kuna mitandao unaweza kuaccess kwa kutumia tigo via freebasics lakini kwa voda haipo inamaana wao wameikataa. Na kwakuwa ni makubaliano yanakuruhusu kutumia data bure, ndiyo maana ili usiwatie hasara sana unakuwa huoni picha wala huwezi kuona videos.
Kwa Nala sijajua inafanyaje kazi
 
Na mkuu ukiwa na huduma unataka kuiweka kundi hilo ni kitu gani unapaswa kufanya
 
Sijajua mkuu ila kwa makampuni makubwa kama fb ni rahisi kushawishi hawa wengine. Ila mfano kama una apps yako muhimu labda ya kuelimisha watu kuhusu kitu flani ni rahisi kushawishi mitandao wakakubalia
Ahh sawa, na vip kuhusu hawa facebook(free basics) kuna uwezekano wa kupitia mgongo wao
 
mkuu free basics ni organization inaongea na mitandao husika hebu hiyo link ya kwanza utaona kuwa uwa wanaongea na mitandao ya nchi husika kuruhusu apps na web flan zilizo ndani ya freebasics
1605875889377.png
 
Na mkuu ukiwa na huduma unataka kuiweka kundi hilo ni kitu gani unapaswa kufanya
WEWE UTATENGENEZA KAMA NI APLICATION YAKO NA UTA HOST KWENYE SERVER YAKO ILA UTAWAPA API KEY AMBAYO WEWE UTAWALIPA WAO ILI WAWAPE WATEJA HUDUMA HIYO BURE ,KAMA IZI APP ZA KUBET WAO WANAWALIPA MAKAMPUNI HUSIKA YAANI UNAKUWA KAMA VILE UNARUN XAMPP HTUMII DATAA NA INAFANYA KAZI .
 
maelezo mazuri kiongoz
 
Nala ni application inayofanya kazi offline, ambayo hutumia mfumo wa SSD kufanya mawasiliano na mtandao husika

Mfano huingia makubaliano na voda kuwa mtumia wa nala ataweza kufanya miamala kutumia SSD walizosajiri kwao. Unataka kujua salio la voda app itatuma code kwa njia ya ssd ikiwa na taarifa zako uzizoziweka kwenye app (NALA NI 3RD PART). Voda mpesa App nayo ina sifa hizo. Wanachokifanya ni kuzirekebisha message ziwe katika mfumo mzuri na kueleweka na mpangilio kwenye app yao

Nala haitumii internet wala data ni ssd.
 
Umetisha mkuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom