Application za Kairuki zinaanza lini?

choupa moting

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,508
2,554
Habarini za asubuh wadau,
Kichwa cha habari hapo juu kinahusika, naomba kujulishwa ni lini chuo cha kairuki kinaanza kutoa nafasi kwa vijana kufanya application kwa mwaka wa masomo wa 2018/2019 hasa kwa ngazi ya diploma. Nina kijana wangu nataka nimpeleke hapo kwa ajili ya diploma ya nursing. Au km kuna chuo kingine mnaweza kunisaidia kwa hapa Dar es salaam ambacho kiko vizuri pia. Nimejaribu kuchungulia kwenye website yao naona hakuna hzo taarifa kwa hyo km kuna mdau anaweza kunisaidia itakua vizur.
Natanguliza shukran.
 
Back
Top Bottom