application za android nzuri na zinazobamba kwa wakat huu

babaryker

Member
Jun 3, 2013
13
0
Free application za android zinazodownloadiwa kwa sana ni pamoja na
AMP-video na music player
AUDIO MANAGER-locking calls,hide call,apps,pictures,videos ni nzur na ipo privacy
CALL ASSIST--Fake call and sms
DUMPSTER-Kama recyclebin kwenye comp,chichote unachofuta kinahifadhiwa humo,unauwezo wakukirudisha
TUBEMATE-download video toka youtube
VAULTY-hide picture,videos kwa password.....
WHATSAPP-chatting

SHUSHA ZINGINE UNAZOZIJUA NA ZINAZOBAMBA....
 
Viber-chattin and free calls
Talking Tom
Jamiiforums-Social network......
To be continued.......
 
Free application za android zinazodownloadiwa kwa sana ni pamoja na
AMP-video na music player
AUDIO MANAGER-locking calls,hide call,apps,pictures,videos ni nzur na ipo privacy
CALL ASSIST--Fake call and sms
DUMPSTER-Kama recyclebin kwenye comp,chichote unachofuta kinahifadhiwa humo,unauwezo wakukirudisha
TUBEMATE-download video toka youtube
VAULTY-hide picture,videos kwa password.....
WHATSAPP-chatting

SHUSHA ZINGINE UNAZOZIJUA NA ZINAZOBAMBA....

inakuwaje hiyo kwenye red?
 
It shows mtu anakupigia kwa kuset jina na number yake,pia msg inaingia kama mtu amekutumia but ni msg unayoset mwenyewe

Nina Lg C360 ni application gani inaweza kua suitable ili niweze ku install WhatsApp messenger? maana inazingua kwl
 
mbona mi mkuu inagoma kudownload wimbo mpaka mwisho hiyo tubemate.natumia cm aina ya android celkon A85.msaada tafadhari
 
Iannotate- pdf reader with reviewing tools like highlighting, crossing, circling, baloon commenting etc
 
Back
Top Bottom