application thru email

sinyoritah

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
552
346
ni miezi5 sasa toka nianze apply kazi through email sijawah itwa interview hata moja sielewi kam email zinafika au application kupitia mitandao hiyo si ya kweli mean huwa hawaifatilii nixaidieni jaman manake rytnw nastresika tu
 
Pole sana. Usikate tamaa na kwa jinsi kazi zilivyo inabidi uwe mvumilivu tu. Cha msingi ukiona una uwezo nayo tuma tu bila kujali kuwa nimeshatuma sehemu tofauti lakini siitwi.
 
ni miezi5 sasa toka nianze apply kazi through email sijawah itwa interview hata moja sielewi kam email zinafika au application kupitia mitandao hiyo si ya kweli mean huwa hawaifatilii nixaidieni jaman manake rytnw nastresika tu

pole sana...usikate tamaa na hasa linapokuja suala la kutafuta.
 
email huwa zinajibiwa, hata me nshaapply mara kibao, na baadhi nilishapiga interview zake na baadhi sijaitwa. So ipo siku itajibu.."katika utafutaji ni Marufuku kukata tamaa".
 
email huwa zinajibiwa, hata me nshaapply mara kibao, na baadhi nilishapiga interview zake na baadhi sijaitwa. So ipo siku itajibu.."katika utafutaji ni Marufuku kukata tamaa.!.vp kuhusu experience miaka 4,mara7 au3 vp post za hvo me huwa natuma tu au nakoxea?
 
ni miezi5 sasa toka nianze apply kazi through email sijawah itwa interview hata moja sielewi kam email zinafika au application kupitia mitandao hiyo si ya kweli mean huwa hawaifatilii nixaidieni jaman manake rytnw nastresika tu

Jina lako limenitega. Je upo Dar Nkupe ushaur ana kwa ana?
 
ni miezi5 sasa toka nianze apply kazi through email sijawah itwa interview hata moja sielewi kam email zinafika au application kupitia mitandao hiyo si ya kweli mean huwa hawaifatilii nixaidieni jaman manake rytnw nastresika tu

M2 wangu vumilia halafu uwe unawahi ku2ma hizo details zako yaani mapemaa.
 
ni pm,ntakupeleka mahali utapata kazi,japo kua hujasema ujuzi wako
 
ni miezi5 sasa toka nianze apply kazi through email sijawah itwa interview hata moja sielewi kam email zinafika au application kupitia mitandao hiyo si ya kweli mean huwa hawaifatilii nixaidieni jaman manake rytnw nastresika tu

hapo kwenye red hapo juu.....tatizo lipo wapi mahipsi baby....au reception yako ndo mgogoro though mahips yanasomeka vizuri?? kuwa muwazi hapo!
 
Sasa itabidi utoe namba yako ya simu ili upate msaada kuanzia kupata kazi mpaka ku-pm
 
ni miezi5 sasa toka nianze apply kazi through email sijawah itwa interview hata moja sielewi kam email zinafika au application kupitia mitandao hiyo si ya kweli mean huwa hawaifatilii nixaidieni jaman manake rytnw nastresika tu

usijali mwanzo ni mgumu ila ipo siku utafanikiwa
 
jaribu kuchek mfumo wa CV, cover latter kama n ya kzaman . . Bora uiweke kxaxa zaid. Inaeza kukusaidia pia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom