Application kwa waliochaguliwa fakat ambazo hawakuzichagua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Application kwa waliochaguliwa fakat ambazo hawakuzichagua

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ramso boy, Aug 25, 2012.

 1. R

  Ramso boy New Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani nisaidieni jins gan utaapply kama umechaguliwa fakat ambayo hukuichagua?
   
 2. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe ulisoma shule zipi secondary? Maana hata kiswahili kinakupa tabu fakat ndio nini?
   
 3. R

  Ramso boy New Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nadhani kwenye sehem kama hiz hekima inaitajika sana,sema kama haujaelewa ueleweshwe bro king okay!ha2tangaziani ujanja af mbona we mwelewa inakuaje???????????
   
 4. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  i've just sent ya a PM! Dats ol i knw hope it helps ya mate
   
 5. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  sasa hapo ni facult na sio fakat,jua kwamba utachagua degree program na sio facult...sasa mambo iko hivi nenda kwenye acount yako ya tcu fungua kwenye selected programs then utaona hiyo option!! fanya fasta mana nda hauruhusu..ukikwama tujulishe au wapigie tcu..ila kua mvumilivu maana humu JF unaweza kata hata tamaa ya kusoma...
  nawasilisha...
   
Loading...