Application inayotoa mkopo direct kwenye simu yako kupitia M-pesa.

Jamani hapa Tanzania nitapata wapi watu ambao nitawakopesha hela bila riba. Msaada pliz & hide my ID.
 
Aisee BRANCH wapo vizuri, nipo kwenye 100,000/= ila uwe unarejesha kwa wakati kila baada ya wiki unarejesha mkopo wako unapanda wale wa SMARTPHONE
 
TALA nawajua...walikuwa Nelson Mandela rd sasa hivi wamehamia hiyo barabara ya mwenge-morocco jengo la Tanzanite tower floor ya 9
 
Tala wapumbafu walinikopa elfu 10 sasa kila saana muda wao ni kupiga simu nimeamua kuwalipa
 
Una emergency yoyote na unahitaji pesa kwa haraka? Unahitaji mkopo? BRANCH ni Application iliyoanzishwa na Mzungu kutoka Marekani inayotoa mikopo direct kwenye simu yako. Unachohitaji ni kuDownload Application hii na kujaza maswali utakayoulizwa ikiwemo majina yako kamili, namba ya simu n.k. Mkopo ni instantly unatumiwa kwenye simu yako na wanakupa na repayment period. Application hii inafanya kazi only in Kenya and Tanzania.

Application nyengine inayoendelea kuwanufaisha Wakenya kwa mikopo moja kwa moja kwenye simu ni TALA. Ila siko sure kama hii Application inafanya TZ but unaeza download na kujaribu.

Trust me these applications dont disappont. Unakuwa na hela sasa hivi.

Thank me later. Enjoy ur weekend.





Kuna hawa jamaa wanajiita kopesha Tanzania je ni kweli wanatoa mikopo?
 
Kuna hawa jamaa wanajiita kopesha Tanzania je ni kweli wanatoa mikopo?
pata mkopo wako ndani ya dkk 5
Screenshot_2018-08-15_100902.jpg
 
Back
Top Bottom