Application for internship

sio kweli hata kidogo! inavalue sana, unajua japo ni kiufupi lakini unajua mazingira ya kazi yakoje, unaongeza confidence na uelewa zaidi make unakuwa unafanya kwa vitendo, (namaanisha wanaoenda field za ukweli sio kutumwatumwa kama makampuni mengine yanavyofanya)
 
Inategemea internship ya aina gani,kwa muda gani, na ofisi gani, na umeachieve nini hapo..
 
inategemea internship ni ya nini ulofanya?na kazi unayoomba je inaendana na iyo internship...hapo itavalue saaaaaana kama kazi unayoomba inaendana na internship ulofanya.
 
inategemea internship ni ya nini ulofanya?na kazi unayoomba je inaendana na iyo internship...hapo itavalue saaaaaana kama kazi unayoomba inaendana na internship ulofanya.
upo sawa mkuu..tena kama hizi kazi za UN ambazo cv ni sort of unaitengeneza papo hapo kwenye form unazojaza, xpirience ya internship usiiweke kama haihusian na kazi unayoomba i.e internshp ya auditing then unaomba kazi ya ICT specialist...bt kama intern uliyofanya inahusiana na kazi unayoomba then it is of great importance...valued second to proffesional xpirience.
 
Waungwana eti ni kweli internship attachment haina value wakati wa interview????/

Chenye value ni je unafahamika na nani among the panelists, and how influential is he or she!!!. Hata kama intenship umefanya miaka kumi unaangukia pua tu kama hufahamiki. Huo ndo ukweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom