Apple: Wazee wa kushtaki wenzao wapatikana na hatia ya kucopy na kupaste

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,689
39,754
ilichukua kama masaa 4 tu kujua kua apple iphone 5 wamecopy toka nokia na sony.
gsmarena_001.jpg

tayari apple washapatikana na hatia so wanasubiria kuhukumiwa tu.

Maeneo ambayo apple kakutwa na hatia ni haya

-incoming call and processing
-call rejection
-image capture and transfer

kumbe walikua wanajisifia camera wakati ni copycat
 
Apple hawezi kumcopy Nokia au Sony .... hayo ni mambo ya kisheria zaidi ili kubalance competition.
 
Apple hawezi kumcopy Nokia au Sony .... hayo ni mambo ya kisheria zaidi ili kubalance competition.

mkuu hio ni kesi ya 3 kwa apple na nokia zote apple kashindwa kakutwa na hatia ya kumcopy nokia

kila device moja ya apple inayouzwa ya simu anamlipa nokia dola 6 hadi 7 kama hujui. Na nokia anamiliki asilimia 60 ya patent za gsm na 20 kwa erricson (sony-erricson) so 20 zilizobaki ndo manufacture wengine
 
kamCopy Nokia, sidhani, mwenye akili hawezi kumcopy kilaza,, hapo nokia wanatafuta tu mbinu ya kujipatia umaarufu from Apple..
 
If hardware and software engineering were open source, we would have seen unimaginable technologies. Unfortunately, it's strictly business.

Waeke kila kitu mezani hata kwa mwaka tu tuone the heights and new directions of these gadgets.
 
mkuu hio ni kesi ya 3 kwa apple na nokia zote apple kashindwa kakutwa na hatia ya kumcopy nokia

kila device moja ya apple inayouzwa ya simu anamlipa nokia dola 6 hadi 7 kama hujui. Na nokia anamiliki asilimia 60 ya patent za gsm na 20 kwa erricson (sony-erricson) so 20 zilizobaki ndo manufacture wengine
Nokia amenunua kampuni inayomiliki patents. Kwa hiyo siyo kama Nokia wamegundua technology, ila wamenunua kampuni inayonunua patents kutoka kwa watu.
Ni mambo ya kibiashara tu.
 
kamCopy Nokia, sidhani, mwenye akili hawezi kumcopy kilaza,, hapo nokia wanatafuta tu mbinu ya kujipatia umaarufu from Apple..

ok si nokia alomshtaki apple bali ni kitengo cha patent ndo kilichomshtaki apple maana 2010 nokia waligundua hio technology wakaipatent then 2012 apple akaicopy kwenye iphone 5.

Na kipindi iphone 5 inatoka nilisema humu kwenye thread yangu kua iphone amecopy 808 kwenye technology ya camera.
Nokia 808 ina 41 megapixel lakini haiproduce picha za 41 megapixel bali inaproduce picha za 5mp, 8mp, 12mp, 16mp na 3x megapixel katika high quality

nikashangaa iphone 5 nayo ina 8mp inaproduce picha za 2mp nkaanza kupata was was lazma watakua wamecopy hawa kumbe imagination zangu ni kweli jamaa huyo kadakwa.

Muite nokia kilaza lakini ukumbuke kila iphone inayouzwa dola 6 hadi 7 zinaenda nokia kwa mambo yao ya kucopy

nokia ametumia 3.9 billion usd zaidi ya trilion 5 za kibongo kwenye research zaidi ya apple kwa mara tano au zaidi so sishangazwi apple kucopy
 
Apple wanatakiwa kulipa zaidi ya 800m...kwa ajili ya Camera sensor ya Nokia.
 
Nokia amenunua kampuni inayomiliki patents. Kwa hiyo siyo kama Nokia wamegundua technology, ila wamenunua kampuni inayonunua patents kutoka kwa watu.
Ni mambo ya kibiashara tu.

mshkuru nokia mkuu kwa kuileta gsm kwenye simu la sivyo leo tungekua tunatumia simu za wifi tu nokia ndo mkombozi wa africa na mkombozi wa maskini.

Kwani haya mambo nayo yanatakiwa kuhadithia? Si tunaona revolution wenyewe kila mtu ni shahidi maana iphone inatoka tayari simu za nokia zinavitu kibao na simu kali wakati huo yaani za samsung na sony ericson zilikua nazo zinatumia symbian pia ambayo ilikua inamilikiwa na nokia.

Ni kweli nokia amenunua symbian na patent zake lakini je symbian iliyonunuliwa ni hii ya leo? Imenunuliwa zamaani nokia ameibadilisha mwenyewe kila kitu.

Penda usipende nokia ndo mgunduzi wa vitu vingi zaidi vya simu kuliko manufacture wote
 
Unacheza!!!
Jaribu Siemens, Nokia ni wafanyabiashara tu, siyo wagunduzi.
Wagunduzi wapo lab sasa hivi wanacreate techs, halafu hao wazee ndiyo wanaenda kununua.
Hizo kampuni ni majina tu, ila Apple msingi wake ndiyo hao watoto wanaokesha labs, au garages za nyumbani na kukataa kununuliwa na vilaza.
Ingawa corporate culture imewa corrupt apple na kuanza vita na hawa wakorea sijui wajepu.
 
Wabongo kwa kukandia hivi Nokia anaweza kuwa kilaza kweli.

apple amechukua hela kwa samsung kisa ile simu ya rounded corner imagine nokia angepatent icon za simu. Maana simu za zamani zote zilikua muundo wa s40 yaani kunakua na li icon moja kubwa ukipeleka kidude cha chini linakuja icon la pili

thanx to nokia symbian wakaleta mfumo wa icon nyingi kwenye menu

nokia-Symbian-belle-os-menu.jpg

ni mfumo huu huu wa munaemuita nokia kilaza ndo anautumia android na ios yaani iphone je angekua nokia sellfish awapeleke mahakamani wangetoka?

Android zipo hv
android-menu1.png

na iphone
iphone.jpg

sasa hapa kilaza kawaacha tu hao apo juu
 
  • Thanks
Reactions: HT
Unacheza!!!
Jaribu Siemens, Nokia ni wafanyabiashara tu, siyo wagunduzi.
Wagunduzi wapo lab sasa hivi wanacreate techs, halafu hao wazee ndiyo wanaenda kununua.
Hizo kampuni ni majina tu, ila Apple msingi wake ndiyo hao watoto wanaokesha labs, au garages za nyumbani na kukataa kununuliwa na vilaza.
Ingawa corporate culture imewa corrupt apple na kuanza vita na hawa wakorea sijui wajepu.

wahenga wanasema mambo ya ngoswe muachie ngoswe ina maana hujui kama siemens ni part of nokia?

Toka mwaka 2006 nokia na siemens walijiunga pamoja wakatengeneza kampuni inaitwa nokia-siemens networks ambayo ni successful company hadi leo.

Mkuu hujawahi jiuliza why siemens hatoi tena simu?
Na kampuni hii pia ilinunua motorolla networks na kuiacha na mabaki ya hardware ambayo google kayamalizia.
 
Kati ya Nokia na Apple hakuna kilaza hapo! Hawa ni giants ktk Teknolojia. Nokia pamoja na simu pia ana-sponsor development ya QT, hardly kilaza anaweza ifanya! Lakini hii copy ktk technology inaitwa "no reinventing of the wheel". Tatizo ni kuto acknowledge technology ya mwenzio BTW si wana hela za Samsung zile lorries of coins...wamlipe hizo :)
 
wahenga wanasema mambo ya ngoswe muachie ngoswe ina maana hujui kama siemens ni part of nokia?

Toka mwaka 2006 nokia na siemens walijiunga pamoja wakatengeneza kampuni inaitwa nokia-siemens networks ambayo ni successful company hadi leo.

Mkuu hujawahi jiuliza why siemens hatoi tena simu?
Na kampuni hii pia ilinunua motorolla networks na kuiacha na mabaki ya hardware ambayo google kayamalizia.
Na GSM ilianza lini?
YAANI UKINUNUA GARI BASI WEWE NDIYE ULIYELITENGENEZA?
 
hawa tena inabd washtakiwe kwa ku copy umbo la nokia lumia za mwanzo na kutumia kwenye new ipod nano mpya
 
wajua kuna watu ni ma fanboys yani wanakariri sana.
Nokia ni legendary sana sema watu wanajifanya kusahau. Kafanya mapinduzi makubwa kwenye simu za mkononi nakumbuka kuna kipindi wakati gazeti la times linatoa tathimini na maendeleo ya century halikumsahau nokia katika mapinduzi aliyofanya kwenye uwanja wa simu za mkononi.
 
nakuunga mkono ndo maana watu wanapinga kwa nguvu zote lkn hata hawafatilii ..

Kingine kinacho wadanganya watu kua apple n noumer kwa technology n kwamba kuna concerpt nying sana za bidhaa za aple bas watu wanahs kama kweli kuna aina hzo za gadgets kumbe n concerp...
 
Back
Top Bottom