Apple v/s Dell Computers

RAJ PATEL JR

JF-Expert Member
Sep 8, 2010
743
169
steve-jobs-apple1.png

  • Sunday, October 09, 2011
Jobs had a public war of words with Dell Computer CEO Michael Dell, starting when Jobs first criticized Dell for making "un-innovative beige boxes". On October 6, 1997, in a Gartner Symposium, when Michael Dell was asked what he would do if he owned then-troubled Apple Computer, he said "I'd shut it down and give the money back to the shareholders." In 2006, Steve Jobs sent an email to all employees when Apple's market capitalization rose above Dell's. The email read:
Team, it turned out that Michael Dell wasn't perfect at predicting the future. Based on today's stock market close, Apple is worth more than Dell. Stocks go up and down, and things may be different tomorrow, but I thought it was worth a moment of reflection today. Steve.
http://www.onlinecnnnews.com

the guy was smart and wise, angekuwa mtu mwingine pengine angemtuka Dell!
 
Namfananisha ni kina Einstein na newton Kweli Jobs alikuwa bonge la innovater mzee. Aachana na makopo hayo ya dell, next tym compare dell na wenzake hao kina HP,ACER na wengine. Nyc post
 
Jamaa namfananisha sana na Jose Mourihno kwenye Soccer...he believed so very much in his strength and never a hypocrite! sio dell tu...hata Microsoft wenyewe...nilishasikiza speech moja alialikwa kwenye Graduation Stanford University mwaka 2005...aliichana Microsoft na windows live, kwamba typography wanazotumia kwenye windows OS walicopy kutoka Macintosh OS! hapa chini namnukuu
"None of this had even a hope of any practical application in my life. But ten years later, when we were designing the first Macintosh computer, it all came back to me. And we designed it all into the Mac. It was the first computer with beautiful typography. If I had never dropped in on that single course in college, the Mac would have never had multiple typefaces or proportionally spaced fonts. And since Windows just copied the Mac, it's likely that no personal computer would have them. If I had never dropped out, I would have never dropped in on this calligraphy class, and personal computers might not have the wonderful typography that they do. Of course it was impossible to connect the dots looking forward when I was in college. But it was very, very clear looking backwards ten years later"
 
Namfananisha ni kina Einstein na newton Kweli Jobs alikuwa bonge la innovater mzee. Aachana na makopo hayo ya dell, next tym compare dell na wenzake hao kina HP,ACER na wengine. Nyc post

Mkuu nina DELL laptop, baada ya kuisoma hii thread imenifanya niione DELL yangu kama kopo! Ningekuwa na uwezo ningelitupa hili kopo langu. Jobs na Apple ni habari nyingine
 
Wabongo kwa mbwembwe mmeshindikana. Duuuuuuh! Makampuni makubwa ya USA,, CANADA na nchi nyingine wanatumia dell, hp, acer kwenye shughuli zao wewe wa dar es salaam unaziita MAKOPO. LOL. Tatizo letu sisi nchi za dunia ya tatu ni tunafuata upepo tuuuu. Leo hii GERMANY na nchi nyingine zilizoendelea kuna watu wengi wanatumia Windows 2000 ila kibongo bongo mtu kanunua laptop lake used kariakoo (hajawahi hata kutumia computer) anatumia windows 7 hata xp hajui inamwonekano gani. Hebu angalia ni stage ngapi kavuka. Waulize wazungu stage walizopitia hadi wakaanza kutumia ATM then fikiria stage tulizopitia TANZANIA (tumekurupukia tuu) ndo maana zinatusumbua. Wazungu wanatubebesha vitu ambavyo hatujawa tayari kuwa navyo.
 
Acha porojo wewe..... wanatubebesha makopo tuuhaya tunayonunua kariakoo karibuni yatakuwa kwa mafungu. Apple ni kitu kingine kinawapeleka puta sana kina Dell walikuwa wamezoea kutuletea viplastiki na vinachemsha tuu kila baada ya miezi kazaa sasa kazi wanayo. Na usiongee nchi zilizoendelea eti wanatumia window 2000 kwani wewe unazania hizo kumputer mpya za bei gali ni kwa soko la bongo. Fikiria tena labda hata dell nchi zetu za kata wanautata nazo wanatuletea zile nzee tuu na slow na korokoro kabisa.
 
Angalia market share ya hizo computer ulizotaja then utapata jibu lako.

By the way wenzako wananunua computer kufuatana na mahitaji yao na sio status. Mambo ya status yamekuwa reserved for Tanzanians kwani sisi hatununui kitu kulingana na mahitaji yetu bali kupata status tu.
 
Acha porojo wewe..... wanatubebesha makopo tuuhaya tunayonunua kariakoo karibuni yatakuwa kwa mafungu. Apple ni kitu kingine kinawapeleka puta sana kina Dell walikuwa wamezoea kutuletea viplastiki na vinachemsha tuu kila baada ya miezi kazaa sasa kazi wanayo. Na usiongee nchi zilizoendelea eti wanatumia window 2000 kwani wewe unazania hizo kumputer mpya za bei gali ni kwa soko la bongo. Fikiria tena labda hata dell nchi zetu za kata wanautata nazo wanatuletea zile nzee tuu na slow na korokoro kabisa.
Ndo yaleyalee niliyosema, FUATA UPEPO. Fanya kama ulivyoelekezwa na mkuu Shakazulu hapo juu.
 
Wakuu this are different markets.., baada ya JOB kuona kwamba itakuwa vigumu kuingia kwenye the then competitive market ya windows akaamua kwamba mashine zake na software (mac computers ) ziwe designed for high end customers (yaani graphic designers, watu wenye studios au ambao wanahitaji kufanya creativity) ndio maana utakuta hata bei yake ni ya juu sana..

Wakati hizi normal pc (personal computer) zipo designed for normal day to day jobs..; Kwahiyo utaona kwamba market segmentation na target market ni tofauti..., bibi yangu au mtu wa kawaida hakuna maana ya kuwa na apple mac ingawa yule jamaa yangu kule mwenye studio ya music anaefanya production na kutengeneza video bila apple mac yake atakuua....

Lakini lazima tumpe Salute Bwana Dell as well kuweza ku-compete na IBM (a big giant kwa wakati ule) kwa kuona kwamba anaweza kupata market kama ataweza kuuza computers (customized) direct to consumers (na hii ndio ilikuwa siri ya mafanikio yake)
 
Wabongo kwa mbwembwe mmeshindikana. Duuuuuuh! Makampuni makubwa ya USA,, CANADA na nchi nyingine wanatumia dell, hp, acer kwenye shughuli zao wewe wa dar es salaam unaziita MAKOPO. LOL. Tatizo letu sisi nchi za dunia ya tatu ni tunafuata upepo tuuuu. Leo hii GERMANY na nchi nyingine zilizoendelea kuna watu wengi wanatumia Windows 2000 ila kibongo bongo mtu kanunua laptop lake used kariakoo (hajawahi hata kutumia computer) anatumia windows 7 hata xp hajui inamwonekano gani. Hebu angalia ni stage ngapi kavuka. Waulize wazungu stage walizopitia hadi wakaanza kutumia ATM then fikiria stage tulizopitia TANZANIA (tumekurupukia tuu) ndo maana zinatusumbua. Wazungu wanatubebesha vitu ambavyo hatujawa tayari kuwa navyo.
Mkuu unatudanganya (unless otherwise utupe ushahidi)...windows 2000 iliondolewa sokoni rasmi july mwaka jana, hakuna mtu anatumia windows 2000 leo!
 
LOL! You made my day mkuu. You mean kitu kikiondolewa sokoni ndo hakitumiki tena?? Kama ndo hivyo hata barabarani kusingekuwa na foleni cause magari mengi mno watu wangeyaacha majumbani kwao cause yalishatolewa sokoni zamani sanaaaaaa. Hii laptop ninayoitumia nikikwambia imetolewa sokoni mwaka gani utacheka hadi basi. Umenichekesha mno. Kama una marafiki zako wazungu unaochat nao waulize watakwambia kuhusu hizi habari za windows 2000. Umenichekesha mnooo. Tatizo umekariri mkuu.
 
mwaka jana nilikuwa Australia kikazi nikaingia duka la komputer nikashangaa hakuna komputer nzee huko zote zilikuwa ni mpya na nikatembelea maduka mengi tuu kila kitu kilikuwa ni kipya cha wakati huo. Hata nilienda kuangalia showrooms za magari na nikakuta yote ni mapya yaani ya mwaka huo na yale yanayokuja mwaka ujao. Wakati huo huo bongo gari jipya ni jina tuu na limetoka kama miaka mitano iliyopita. Upeo wangu navyojua miye zile kumpuni zenye vibajeti vidogo na havinaga faida sana ni hasara tu kila kukicha kama tanesco ndo unakuta bado wanatumia window 2000. Nazani wewe Sumu nikiongozi wa kampuni hizo hasara tupu ndo maana wanashidwa kununua komputer mpya kuongeza ufanisi wa kazi. haya furaiya window 2000 yako siye twa subiria window 8
 
Mkuu unatudanganya (unless otherwise utupe ushahidi)...windows 2000 iliondolewa sokoni rasmi july mwaka jana, hakuna mtu anatumia windows 2000 leo!
Naona wewe ndio unadanganya watu. Kama windows 2000 iliondolewa sokoni mwaka jana, haijaondolewa kwenye kompyta za watu. Mwenye kompyuta ya zamani atatumia window 2000 maana windows nyingine hazitaingia kwenye komputa yake. Usingalie dar tu. Nenda kwa wamiliki wa kompyuta za zamani uone wanatumia windows gani.
 
Sijawahi kutaka kununua Dell in my life! My intuition was right! DELL ni kawaida sana! Hana tofauti na FUJTSU!

Majority ya watanzania wanavyo-mind Dell halafu wewe unazikandia na kuzilinganisha na Fujistu eti sijui e-machines....shauri yako unatafuta kutukanwa hapa jamvini. simoooo
 
Mkuu unatudanganya (unless otherwise utupe ushahidi)...windows 2000 iliondolewa sokoni rasmi july mwaka jana, hakuna mtu anatumia windows 2000 leo!

Bado watu kuna wanaendelea kuitumia hadi leo
 
Back
Top Bottom