Apple unveils Iphone 7 with dual cameras, water-resistance, and stereo speakers

Chief-Mkwawa
Hii iphone 7 ikitrend sokon kama mwaka hivi au mwaka na nusu iphone 6s na 6s+ zitakuwa kama bei gani hivi nataka nije niichukue moja kati ya hizo ata kwa mtu nipe estimation zako mkuu
 
Chief-Mkwawa
Hii iphone 7 ikitrend sokon kama mwaka hivi au mwaka na nusu iphone 6s na 6s+ zitakuwa kama bei gani hivi nataka nije niichukue moja kati ya hizo ata kwa mtu nipe estimation zako mkuu
Kwa kawaida huwa zinapungua kwa 100$ US ila kwa kitaa huwa zinapungua zaidi ya hapo
 
1473339796056.jpg
1473339801798.jpg
 
Back
Top Bottom