apple na samsung kila mmoja amshinda mwenzie mahakamani

itabidi familia ya alexander bell nao walalamike wameibiwa technology ya mawasiliano ya simu kwa mwendo huu
 
Hakuna anayetaka kurudufu bidhaa za Nokia kwa sababu Nokia imeshindwa kwenye ushindani wa Soko la eletroniki.... Nokia inakufa! Mwaka 2015 ndio mwisho kwa kampuni iliodumaa!

nina weza amini embu chekki asha zinavozingua internet usiombe..
 
kesi ya korea samsung amemshinda kwa kusema ni vigumu kwa simu za touch kufanya unique design bila kufanana na mwenzio

kuona hivo apple katika kesi ya marekani akatumia nokia lumia kama excuses kua ina unique design na inawezekana samsung akashindwa kesi.
http://mynokiablog.com/2012/08/22/a...-that-not-every-phone-has-to-look-like-iphone

Nokia ni legendary wa simu twende huku turudi kule sababu asha mnanzozisema equivalent yake ni samsung bada oneni bada ilivochemsha wengi wenu hamuijui humu sababu haifany vizuri worst os ever.

simu nyingi za samsung wanaunga unga vitu tu si technology zao os ya android si yao screen si zao, camera sio zao every thing sio vyao je mtu kama huyu atapata wapi ujuzi wa kudesign kitu kizuri? Lazma vitu asivoweza kuvipata aige.

Oneni nokia n9 imetoka easy tu nokia wakatuletea first curve touch screen. hayo makampun mengine yakafumuliwa huko kila mtu naye ana curve sjui htc one, sjui samsung galaxy 3.

Nokia wana concept ya golden phone possibly mwaka huu iwe release au mwakan utaona sasa hivi jamaa wataiga

MNB11-1.jpg


Hio ya dhahabu luxury nokia ya wenye pesa na hii hapa chini umbo namba nane mahips ya kutosha tu

MNB7.jpg
 
Nokia tuazidharau hapa bongo tu
Lakini huko duniani kwenye soko zinakimbiza mbaya, Samsung inaongoza kimauzo the rest wanasubiri sana tu kwa Nokia
 
Samsung is the best! Nokia is dying! Apple limeoza! Meizu inakuja juu vizuri mno! Sony usiseme, think abt HTC, Huawei, Xiaomi, and the mighty LG unadhani Nokia itaweza kuhimili ushindani? Nokia tengenezeni simu moja tu ya Android!!!!!!!!
Very conservative Nokia!

Meona eee nokia akitoa droid atakua kafanya kitu...bt HTC ukja xperia dah
 
Nokia tuazidharau hapa bongo tu
Lakini huko duniani kwenye soko zinakimbiza mbaya, Samsung inaongoza kimauzo the rest wanasubiri sana tu kwa Nokia

Wewe nokia anasubir kwa cm zte zenye OS YA ANDROID..HTC,LG OPTIMUS,MOTOROLA DROID,SAMSUNG,XPERIA...NA NYINGNE
 
Back
Top Bottom