Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,689
- 39,757
mahakama ya korea imetoa hukumu leo kua kila mmoja apple na samsung kamuibia mwenzake, tofauti na mahakama za kimarekani ambazo kila siku wanaachiwa huru.
Wote wamebaniwa kuanzia leo hii kuuza vitu vyao korea (wataruhusiwa kwa limited amount tu).
Apple kwakutwa na makosa mawili juu ya samsung na samsung nae kakutwa na kosa moja.
Ban hio itazikumba iphone 4, iphone 3gs ipad 2 na ipad kwa upande wa aple. Kwa samsung bidhaa zilizobaniwa ni samsung sI, sII, galaxy tab na galaxy tab 10.
Apple kamlipa samsung won million 40 estimated shilingi za kitanzania zaidi ya bilion 50 na samsung kamlipa apple won 25 million.
Kosa alilokutwa nalo samsung kaigilizia appearence ya nje ya iphone kwa kuiga upande wa nyuma wa samsung ambao upo kama curve (hili linajulikana).
Na aplle nae kakutwa na hatia kwa kuiba technology ya kuhamisha mafile toka device moja kwenda nyengine.
Source BBC News - Apple and Samsung get South Korea bans
nimecheka sana kama fan wa nokia maana upuuz mtupu kuibiana vitu kama hivo device zote za nokia symbian ana na symbian belle zipo zaidi ya kumi hakuna hata moja inayofanana na mwenzake kwa design wao wameshindwa nini?
big up nokia even though samsung kawaiga kwenye samsung galaxy s3 kueka curve touch screen hamjampeleka mahakamani mshindeni kwa kutoa device mpya tu