Apple kutengeneza Gari zake kufikia 2025

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,037
20,337
f7d179792d7ef79446cca086ba5a5f06~2.jpg

Mtandao wa Bloomberg umeripoti kwamba Gari la umeme linalotengenezwa na kampuni maarufu ya Apple ambayo pia inatengeneza vifaa mbalimbali kama simu za mkononi na computer, litazinduliwa mwaka 2025.

Inaelezwa kwamba Timu inayosimamia kutengeneza gari hilo la Apple ilikwama kwenye kuchagua kati ya njia mbili tofauti za utengenezaji wa gari hilo ambazo ni EV ya kitamaduni iliyo na vipengee vya usaidizi wa Dereva vilivyoimarishwa au EV ya kisasa zaidi yenye uwezo wa kuendesha gari kwa uhuru bila kuhitaji msaada wa Binadamu
 
Ajiandae kukabiliana na kina Tesla, Google na wengineo maana nao wako 'mafichoni' wakijipanga kuja na ya kwao ambayo ni fully automated.
 
Apple akiboresha mfumo WA self driving anaweza akawin, maana huu mfumo kwenye gari za Tesla hauna ufanisi.

Juzi Kati CNN walijaribu kuendesha gari Tesla Kwa kuruhusu autonomous feature, dereva alilazimika kulidhibiti gari mara Kwa mara maana gari linashindwa kutambua object ya karibu Kwa haraka Kwa sababu Tesla haitumii radar wameweka sensor nyingine tofauti ni kamera nadhani.
 
Ngoja tusubiri tuone kama gari hilo litakuwa na ubora ili washindani na Tesla
 
Apple akiboresha mfumo WA self driving anaweza akawin, maana huu mfumo kwenye gari za Tesla hauna ufanisi.

Juzi Kati CNN walijaribu kuendesha gari Tesla Kwa kuruhusu autonomous feature, dereva alilazimika kulidhibiti gari mara Kwa mara maana gari linashindwa kutambua object ya karibu Kwa haraka Kwa sababu Tesla haitumii radar wameweka sensor nyingine tofauti ni kamera nadhani.
Usifikiri TESLA wajinga ku launch starlink internet. Wanataka walau waweze kudhibiti kila hali wao wenyewe.
Shida ni kuwa wanategemea mifumo ya mawasiliano ya wengine ambayo hawana udhibiti wake.
Apple nao watakutana na changamoto hizo hizo na watakuwa wamezidiwa na Tesla kwa uzoefu, wao ndio kwanza wataanza kugundua changamoto na kuanza kuzitatua huku Tesla wakiwa tayari wanajua cha kufanya.
Hii teknolojua ni infant tech bado ina safari ndefu sana.
Mifumo mingi sana italazimika kuja kubadirishwa ili kuendana na hayo magari mfano trafic system, roads nk.
Hata hivyo tafiti zilixofznywa zinaonesha hakutakuwa na fulk automation dereva bado atakuwa na nafasi yake.
 
Mzee, kuna sehemu nimesema Tesla ni wajinga ku-launch starlink. Sijazungumzia starlink.

Kuhusu self driving, Tesla wanamarket gari zao kuwa ni full self driving system.
Full Self-Driving Computer Installations

Wakati gari zao zinashindwa kutambua gari zilizosimama na hata kushindwa kubadili lane.

Mwaka 2018, SFD ya Tesla iliua mwendesha pikipiki waliokuwa wamesimama wakati dereva WA Tesla alikuwa amesinzia na akiwa amewasha self driving.

Na Kwa kuongezea Tu, self driving kwenye gari za Honda na Subaru zimeonyesha ubora kuliko Tesla na hawajawai kujitangaza kuwa ni full self driving
 
Back
Top Bottom