Mwambie awasiliane na jamaa huyu anaweza msaidia manake ndiye alinipa msaada kwenye iphone yangu yalitokea hayo hayo 0767801900 ajieleze tu kwamba ana I phone imejilock, najua alikuwa anafanya updating manake ndiyo mchezo wake hutakiwi kuaccept udating kama hujui ku unlockWaungwana naombeni msaada. Kuna dada yangu amesahau phone lock code ya iPhone yake.
Je, inawezekana kuiunlock?
Wataalamu wa Jigambe, michuzi, Jf na site zingine nawaomba msaidieni huyu dada jamani, anaonekana kuchanganyikiwa.
Au huyu hapa 0754501807Pale samora.Mwambie awasiliane na jamaa huyu anaweza msaidia manake ndiye alinipa msaada kwenye iphone yangu yalitokea hayo hayo 0767801900 ajieleze tu kwamba ana I phone imejilock, najua alikuwa anafanya updating manake ndiyo mchezo wake hutakiwi kuaccept udating kama hujui ku unlock
yeye mwenyewe anaweza akaifungua mafundi wanachaji pesa nyingi sana afunge itunes kwenye mashine yake mimi nitaamwelekeza jinsi ya kufanyaok,
Bado nahitaji mawazo na views zenu kuhusu haka ka-iPhone.
CHONDECHONDE jamani.
ok,
Bado nahitaji mawazo na views zenu kuhusu haka ka-iPhone.
CHONDECHONDE jamani.