Apple Iphone 12 is finally here

Mkuu kuna hili suala,Iphone ikiwa na charge 90℅ ukaiacha hata masaa mawili unakuta asilimia hizo hizo hazijapungua ila ni tofauti kwa Android,yenyewe ukiiacha hata kama huitumii utakuta charge imedrop....Hii hasa inasababishwa na nini kama unafaham

Si kweli.
 
True multitasking, Android inaruhusu apps kurun background wakati iphone hairuhusu true multitasking.

Kuna baadhi ya Skin za Android kama Oxygen ya oneplus yenyewe inaruhusu kwa muda tu.
 
Samsung
Sony
Huawei
Oppo
Tecno
Infinix . Hizi ni kampuni zinakuuzia simu ya laki nane unakuta hata camera focus hazina, no updates , zina stretched applications yan app haziko tailored na model ya simu , security almost zero, inferior housing hazidumu, chukua Samsung fungua sms za kawaida weka emoji ya kucheka au kulia utashangaa hii emoji inacheka au ni nini, sasa kampuni kama Samsung wanaweka emoji hazieleweki graphics mbovu kabisa unategemea nini, ila wao ni ram na megapixel Matatizo ni mengi sana siku nikipata muda ntaelezea hapa .
Unazungumzia Huawei gani ? Kuna hizi Y6 halafu kuna P na Mate Series.
 
labda Y360 sio P40 pro +

Soma uzi vizuri , Android zote zina matatizo hayo tena ni matatizo ya msingi kabisa na Android phone manufacturers wanayajua Sema wameamua kuachana nayo. Kifupi hawataki kufanya uwekezaji wa muda mrefu, mipango yao ni mifupi mifupi ukitaka kujua hilo angalia face unlock ya huawei zote na Samsung ni majanga matupu. Angalia consistence ya baadhi ya vitu kwenye simu zao Yan wameamua ku ignore au ku take advantage ya wateja wasiojua. Si ajabu simu zao kushuka thamani sana ndani ya muda mfupi
 
Sijaona hilo tatizo kwenye P 20 pro yangu tangu ninunue 2018.
 
Samsung
Sony
Huawei
Oppo
Tecno
Infinix . Hizi ni kampuni zinakuuzia simu ya laki nane unakuta hata camera focus hazina, no updates , zina stretched applications yan app haziko tailored na model ya simu , security almost zero, inferior housing hazidumu, chukua Samsung fungua sms za kawaida weka emoji ya kucheka au kulia utashangaa hii emoji inacheka au ni nini, sasa kampuni kama Samsung wanaweka emoji hazieleweki graphics mbovu kabisa unategemea nini, ila wao ni ram na megapixel Matatizo ni mengi sana siku nikipata muda ntaelezea hapa .
We jamaa unaidiss samsung😂😂😂
Kweli???
Samsung ships junk???
 
We jamaa unaidiss samsung
Kweli???
Samsung ships junk???

No one is perfect lakini kuna vitu lazima tuwe serious, Galaxy fold ni mfano mzuri sana wa junk. Iris scanner ni junk feature yaan mambo ni mengi. Lakini haiondoi ukweli kwamba samsung ni one of the best
 
Vipi ipad fold ambazo zinajikunja zenyewe?
 
Unakumbuka 2017 wakati nawaambia kuhusu face id, ukawa unasema itafeli ? Sasa unasemaje ? Umebadili msimamo au msimamo wako uko pale pale ?
 
Hamna ipad fold mkuu, ipad yoyote ukii stress kwa force kama kuikalia inajikunja, na kuikalia siyo sehem ya matumizi. Kusema inajikunja yenyewe ni ushabiki tu
Vipi zinazokuja out of box zimejikunja na kwanini tablets nyengine haziji hivyo?
 
Unakumbuka 2017 wakati nawaambia kuhusu face id, ukawa unasema itafeli ? Sasa unasemaje ? Umebadili msimamo au msimamo wako uko pale pale ?
Mimi? Unaweza weka ushahidi?

Ubishi wangu baina yangu na wewe nilisema face id sio enterprise grade security na wewe ukasema dunia hii haku exist security kali kama hio, nikakupa mifano kibao watu wakicheza nayo kama toy.

Weka ushahidi wa maneno yako.
 
Soma uzi vizuri , Android zote zina matatizo hayo tena ni matatizo ya msingi kabisa na Android phone manufacturers wanayajua Sema wameamua kuachana nayo. Kifupi hawataki kufanya uwekezaji wa muda mrefu, mipango yao ni mifupi mifupi ukitaka kujua hilo angalia face unlock ya huawei zote na Samsung ni majanga matupu. Angalia consistence ya baadhi ya vitu kwenye simu zao Yan wameamua ku ignore au ku take advantage ya wateja wasiojua. Si ajabu simu zao kushuka thamani sana ndani ya muda mfupi

Nakubali mkuu
Apple face Id ina senci gizan totoro
 
Back
Top Bottom