INAUZWA Apple imac all in one nch 24 wide inauzwa 380000

Habari waheshimiwa

Nauza apple imac core 2 duo mtumba kutoka nje(ziko nyingi)
sifa zake

Hdd 500gb
ram 2gb (inaongezwa)
nch 24 wide
processor 2.8ghz
core 2 duo
graphics ATI radeon HD 2600 PRO 256 MB
zinasoma DvD NA CD za aina zote

Napatikana KARIAKOO mt uhuru na MACHINGA COMPLEX floor 4
call/whatsapp 0714689280

Pia tuna desktop zingine za aina zote
MIKOANI TUNATUMA MALIPO BAADA YA KUPOKEA ( vigezo na mashart kuzingatiwa).

View attachment 1697456View attachment 1697457

Za mwaka gani hizi ? Zinaenda mpaka os ipi? Yaan upgrade ?
 
Nijuavyo mimi kwa sifa ya hiyo brand hata mbovu hupati kwa hiyo bei
NJOO TUKUUZIE BASI TUNAKUPA NA LISITI NA WARRANTY JINA NI APPLE JE INA SIFA GAN NDANI USIANGALIE HARD DISK NA RAM KUNA VITU WAJUZI/WATAALAM WANAJUA BOSS...karibu sana
 
Siyo nabisha tuu nina uwezo mkubwa wa reasoning
ndugu ivi unajua izo zinatoka wapi apa dar hasa used na uko wanauza sh ngap afu ungejua apa kariakoo zinauzwa lak nne na nusu sasa mimi kuuza 380 ajabu nini au aupo mjini mpka unashangaa na pia jua iyo ni core 2 duo tu. pia kuna i3,i5 na i7 uko ndio akugusiki kabsaa
 
Hiko kioo cha apple tu kinaenda shilling ngap
kioo cha ndani bei kidogo ila ile show ya nje tu laki moja ambayo inaziba mbele
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2021-02-03 at 12.15.08.jpeg
    WhatsApp Image 2021-02-03 at 12.15.08.jpeg
    39.2 KB · Views: 5

Similar Discussions

Back
Top Bottom