KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,290
Habari tena ndugu zangu,
Hapo majuzi tumeshuhudia vita za kiuchumi zinazoendela zidi ya mataifa yenye misuli zaidi.
Huku Huawei wakionekana kama walipigwa kombora la kutosha kwa kuweza kushindwa kufanya kazi na google
jambo la kushangaza ni kwamba siku mbili hizi zilizopita wameweza kutangaza simu mpya kabisa inayotoka jambo ambalo limekuwa ni gumzo kidogo kwa mataifa yaliyotegemea Huawei kuporomoka.
Na zaidi ya yote jana Huawei wametangaza Platfom yao mpya na mfumo wao mpya kabisa wa simu
Wamekwisha sajiri ARK OS
Ambapo OS yaio itakuwa na mifumo miwili mfumo wa nyumbani(China) na mfumo wa mataifa mengine.
Na pia wametengeneza ni mfumo ambao wakwao peke yao utakaotumika kuoparate simu zao na pamoja na Computer zao
kwa maana nyingine ni kwamba la Computer likifanikiwa sio ajabu tukaanza kuona vijicho wao na Microsoft kumbuka hii ni biashara ni ubunifu na urahisi ndio unasimama zaidi kuliko ukongwe ndio maana marekani anasumbuka sana na Huawei
Kwahiyo Operating System yao itakwenda kwa jina la "Huawei Hongmeng" ambapo katika simu ndio itakuwa ndio Ark Os
Kwa kuongeza tu tukumbuke kuwa teknolojia aliyonayo china hakuna taifa lolote duniani linaimiriki na tukumbuke ndio teknolojia ambayo pekee imechochea na nchi nyingi kuweza kuendelea katika uchumi.
Mfano Kumbuka bila China leo hii tusingekuwa na bajaji wala boda boda
enzi hizo anamiliki mchungaji one 10 na mwenyekiti kwa mtendaji na bwana mifugo wana xl honda.
Lakini pia wakati huo huo kumbuka mchina anaweza kutengeneza bidhaa ya aina yoyote, kwa ubora uleule na akauza kwa bei ya chini ama ya nafuu ambapo hakuna taifa linaweza kufanya hivyo
Marekani wana bidhaa kibao ambazo hazinunuliwi kwa wingi kwake na zimezidiwa na nchi ya china.
Sisemi Mengi sana unaweza kusoma hapa zaidi juu ya huawei
hapa

Guys najua hapa tunabishana tu ili kupoteza muda, ila reality ni kwamba Huawei ni giant, msiichukulie simple kwa kuwa simu zake ni za bei rahisi. Hawa jamaa wame deliver 5G ahead of its time. Si watu wa mchezo. Ila hii game ilishaanza kuchezwa kitambo sana. Samsung, Huawei, etc walitangaza kitambo kuwa watatoa simu za 5G 2019, ila Iphone yeye alijitoa akasema simu za 5G kwake zitachelewa. Mimi ni mtumiaji wa Iphone na Samsung, ila sasa hivi ndo nimegundua kuwa kuna dirty games zinachezwa, na zile statement kuhusu 5G zilizotolewa zaidi ya mwaka 1 uliopita zinathibitisha hilo. Lakini mwisho wa siku loser atakuwa US kwa sababu anategemea 90% ya rare earth minerals kutoka China. Na hizi minerals ndo zinazotumika kutengeneza technological equipment nyingi unazoziona leo hii.
io cio. yakusubiri kwa sis wenye huawei tayari inafnya kaz zaman sana.. View attachment 1111964View attachment 1111965