Apple announces Q4 2012 earnings: $36B revenue, $8.2B net profit, 26.9M iPhones, 14M iPads, 5.3M iPo

i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
906
290
Habari ndo hiyo sasa nasubiria matokeo ya nokia,RIM,microsoft na sumsung tuone nani yupo creative i.e. product out of the shelves money in the bank siyo ushabiki tuu.
Apple_4Q12_results.001.png
 
Wamedisapoint wamemiss expectations.
Naushindani wote uliopo sasa hivi nazani wamejitaidi angalia hiyo graph sales zao zipo bado stable any company operating now would like to be in their place
 
Ni kweli, ila wall street ilikuwa inategemea mambo yawe mazuri zaidi.
 
Wamedisapoint wamemiss expectations.

Bora useme wewe

Ya nokia yametoka kala hasara million za kimarekani 700 lakini q1 alikua hasara bilioni za kimarekani 1.7 so graph yake inapanda na amepita expectation ikasababisha hisa zake kupanda kwa asilimia 8

Tutajieni hisa za apple zimepandaje baada hio result
 
Habari ndo hiyo sasa nasubiria matokeo ya nokia,RIM,microsoft na sumsung tuone nani yupo creative i.e. product out of the shelves money in the bank siyo ushabiki tuu.
Apple_4Q12_results.001.png

Mkuu nina mashaka na hizi data zako nahisi unatudanganya hapa.

Ukisikia q4 ina maanisha robo ya 4 ya mwaka ambayo ni mwezi wa kumi (huu tulionao) wa kumi na moja na mwezi wa 12 iweje watoe result za q4 wakati haijaisha ndo inaanza au wao watabiri washaona

Source plzzzzzz
 
Wamedisapoint wamemiss expectations.

Bora useme wewe

Ya nokia yametoka kala hasara million za kimarekani 700 lakini q1 alikua hasara bilioni za kimarekani 1.7 so graph yake inapanda na amepita expectation ikasababisha hisa zake kupanda kwa asilimia 8

Tutajieni hisa za apple zimepandaje baada hio result
 
Bora useme wewe

Ya nokia yametoka kala hasara million za kimarekani 700 lakini q1 alikua hasara bilioni za kimarekani 1.7 so graph yake inapanda na amepita expectation ikasababisha hisa zake kupanda kwa asilimia 8

Tutajieni hisa za apple zimepandaje baada hio result
Hisa za apple zimekuwa zikishuka kwa mda now kidogo kidogo mpaka $609 kwa share moja lakini nategemea mauzo ya ipad mini yanaweza push share price up to $650 per share by mid november. hizi habari hazijaafect bado shares lakini leo wakianza kutredi lazima zitaanza kupanda
 
Mkuu nina mashaka na hizi data zako nahisi unatudanganya hapa.

Ukisikia q4 ina maanisha robo ya 4 ya mwaka ambayo ni mwezi wa kumi (huu tulionao) wa kumi na moja na mwezi wa 12 iweje watoe result za q4 wakati haijaisha ndo inaanza au wao watabiri washaona

Source plzzzzzz
Source nenda Engadget post ya earnings za 4Q zipo kwenye highlights ya main page
 
Wamekosea apple na hao engadget wamecopy na kupaste bila kuuliza maana nimeisoma habari kwa makini kuna sentesi inasema

engadget said:
remember this iphone has sold out for only 9 days this quarter

Na iphone imetoka 21 september siku tisa kabla ya kuisha mwez wa 9 na mwisho wa q3
 
Wamekosea apple na hao engadget wamecopy na kupaste bila kuuliza maana nimeisoma habari kwa makini kuna sentesi inasema

Na iphone imetoka 21 september siku tisa kabla ya kuisha mwez wa 9 na mwisho wa q3
Sijajua unabisha nini au ni wivu nokia hawapo level hiyo...... by the way result kama hizi nikawaida kwa apple unless u can provide us with different source I c no point ya kuzibishia hizi results
 
Nah sina wivu na nokia as long as wapo kwenye game mi nafurahi tu. Bila nokia hakuna competition mkuu nokia anagundua vitu then ndo anachalenge kampun nyengine then wao nao wana improve bidhaa.

nokia is living legend
 
Back
Top Bottom