App za simu zimepunguza sana matumizi ya kuangalia tovuti kupitia browser

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Nakumbuka miaka 2003 mambo internet cafe watumiaji wengi wakubwa ilikuwa ni tovuti za mitandao na si mengine kama ukilinganisha na sasa kupitia simu janja.

Kama mtakuwa mashuuda kaunzia 2008,9,10,11 na kuendelea kidogo kulikuwa na blogs nyingi na hata JF tulitumia sana kwenye kompyuta.

lakini leo kilicho nifanya kuleta jambo ili ni kutokana na matumizi makubwa ya App kama ukitaka cnn,jf na n.k

kufungua browser ni mara chache sana.

je wewe kwa siku unafungua tovuti ngapi kuliko app zinazobeba tovuti!
 
Back
Top Bottom