App ya kwanza inayoonesha mambo yanayovuma Tanzania

T3RN3K

Member
May 30, 2011
92
56
App hii inaitwa 'Zinazosomwa' inapatikana google play kupitia link hii:
Zinazosomwa – Applications Android sur Google Play

App hii ina uwezo wa kugundua ni jambo gani au mtu gani maarufu anavuma Tanzania katika siku. Hili linawezekana kwani app hii ina intelligence au uwezo wa kukusanya habari kutoka kwenye blogs na news sites maarufu Tanzania zaidi ya 35. Inazichambua habari hizi na kugundua jambo gani au mtu gani antrend Tanzania.

Pia app hii inapangilia habari katika topic au mada mbalimbali kama siasa, michezo, burudani, uchumi n.k ili kumrahisishia msomaji. Pia inampa mtumiaji uwezo wa kuchagua topic au mada za habari ambazo anataka app hii iwe inamletea na zipi isimletee. Hii inasaidia mtumiaji kusoma habari ambazo anapenda kuzisoma.

App hii inaambatana na website yake www.zinazosomwa.com ambayo inafanya kazi hiyohiyo.

Pia kuna Facebook na Twitter page zinaitwa @zinazosomwa ambazo hupost habari 5 za kila mada zinazovuma mara tatu kwa siku.

Malengo ya App hii
1. Kumrahisishia mtanzania kupata habari

2. Kuwaongezea waandishi wa habari idadi ya wasomaji

Tafadhali download app hii na utoe maoni yako, asanteni sana.
 
the @Bold aliwahi kuweka uzi/tangazo kama hili, lakini chaajabu alipigwa ban....
Kweli humu jf sometimes kuna upendeleo.
Nifah
 
I think inategemea alipost jukwaa gani, mara ya kwanza mimi nilpost kwenye jukwaa la 'Habari na Hoja Mbalimbali', ikashushwa ndani ya nusu saa. But wakiishusha na humu nitaaelewa coz inawezekana ninavunja sheria zao!
 
the @Bold aliwahi kuweka uzi/tangazo kama hili, lakini chaajabu alipigwa ban....
Kweli humu jf sometimes kuna upendeleo.
Nifah
I think inategemea alipost jukwaa gani, mara ya kwanza mimi nilpost kwenye jukwaa la 'Habari na Hoja Mbalimbali', ikashushwa ndani ya nusu saa. But wakiishusha na humu nitaaelewa coz inawezekana ninavunja sheria zao!
 
Hizi ni baadhi ya screenshots

d493be834b6443b4727ad24f4f6a54c3.jpg


c99f7430f99a4be1725bb3c151b0e063.jpg


c66c90877a57bed78accae43802241f7.jpg


8d40123d4d1aa02a11ab6e20b6783102.jpg


2df6a0bebc41f358eb98feaa336eda2f.jpg


6f1d974e8bf2b6c3b0cd0154d6b3b98f.jpg


67a8d8fe0ceff94bc93a19b70d81559b.jpg


063477397f476868251d5f0691553bec.jpg
 
brand name: zinazosomwa to be honest jina baya sana halina mvuto kabisa litachukua muda sana kushika watu
 
Jina baya kabisa mkuu, Sijui umechagua kwa kigezo kipi kama hutojali naweza kukupatia suggestion za majina mazuri
 
Jina baya kabisa mkuu, Sijui umechagua kwa kigezo kipi kama hutojali naweza kukupatia suggestion za majina mazuri
Tunafanyia kazi maoni yako, kwani brand name imeshatumika pia kwenye website, na social media accounts na somehow popular now. So tunatafuta a catchy brand name huku tunaangilia utaratibu wa kubadilisha. Asante mkuu kwa ushauri!
 
Back
Top Bottom