App ipi inatumika kubakisha instrumental kwenye wimbo

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,225
1,342
Wadau nauliza ni app gani au computer program gani ambayo huwa inatumika kutoa maneno kwenye wimbo na kubakisha beats pekeyake.

Msaada plz ili niweze kuicheki kqenye app store au playstore
 
Mwenyew nlikua na wazo la kujua hyo app. Ngoja nisubiri. Cheaf mkwawa plz unasubiriwa hapa jamvini
 
Back
Top Bottom