App inayoweza kukuongezea wateja katika biashara yako ya baa au pub

newmimi

New Member
Jun 16, 2015
3
1
Nimekuwa nikikumia App ya ZeMGame kwa miezi mitatu sasa, Katika hii miezi mitatu idadi ya wateja katika baa yangu imeongezeka kwa asilimia 93%. Hii ni kutokana na kuwa ZeMGame imewawezesha baadhi ya wateja wangu kupata vocha au kinywa kama bia, konyagi, shujaa, soda na maji kwa shilingi mia mbili (200/=) tu.

Mteja anayetaka kucheza mchezo huu wa ZeMGame ,anatakiwa ku-download App ya ZeMGame na kujiandikisha kwa kufungua akaunti mpya ya ZeMGame, ambapo ataweka Anuani yake ya barua pepe , jina lake la usahili na taarifa zingine, Baada ya kumaliza zoezi hilo atanikabidhi shilingi mia mbili (200/=) ambapo mimi nitamtumia Tokeni 50 kwenye akaunti yake ya ZeMGame,Tokeni hizo 50 zitampatia nafasi ya kushinda vocha au vinywaji katika baa yangu.

Mimi kama Mchezeshaji wa huu mchezo wa ZeMGame nanunua tokeni hizo kutoka ndani ya App ya ZeMGame ,Fedha ninazolipa kuunua tokeni hizi ni kiasi kidongo ukilinganisha na faida ninazozipata kwani si kila mchezaji anashinda. Hivyo faida napata .

Ili kuwa mchezeshaji ( Facilitator ) , Inatakiwa uwe na Smartphone na kiasi cha pesa cha kuanzia shilingi 6,700/=

App hii inapatikana google play store , Link yake hii hapa chini

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.magabe.zemgame

Kama unashida na tokeni , nicheki inbox
 
Back
Top Bottom