DENICE ADRIAN
Senior Member
- Feb 14, 2014
- 127
- 30
Naomba kujua app ambayo inabadili mwandiko wa simu
Pia unaweza tumia mwandiko wako mwenyewe kama font..
[Guide] How to use your own handwriting as a font in android
Ingia play store tafuta ifont
Ila lazima uwe ume root simu yakonaombeni kujua app ambyo inabadilisha mwandiko wa smu
Cc:chief mkwawanaomba kujua app ambayo inabadili mwandiko wa cm...
Tumia tfontnaomba kujua app ambayo inabadili mwandiko wa cm...
Laza kalamu mwandko utabadilka tuu.... just a joke mkuunaomba kujua app ambayo inabadili mwandiko wa cm...
Ukitaka app hiyo itumike vizuri, unatakiwa kuiroot simu kwanza. Hapo utatumia mwandiko wowotei font