Aplication ya Onlinetv wameiondoa channel ya Azam

binamubingwa

New Member
Nov 5, 2016
3
0
Hatimae aplication ya onlinetv wameziondoa chanels za azam tv na baadhi ya channel za nje ya Tz
cf2d7f98c29987b6466f622fa8a11513.jpg
 
Mkuu application gani hii unapata hadi Chanel Za supersport.. Naomba unifundishe tafadhali
Mkuu hata usidate wala sio mzigo wa supersport ya kwa madiba hii ni super sport ya porini,hii app niliipakua mwanzoni kabisa alipoileta tukatoa mapendekezo ila naona kama hailekei vizuri kwakuwa anapambana kujaza machannel mengi angeanza na channel chache aone inapokelewa vipi ndio baadae aanze kuadd moja moja,kwa aliesema Azam imetolea sijatest bado ila naona bora tu itolewe maana haikuwa na msaada,kwanini nasema hv Ile channel ilikuwa ikipigwa tu match ya kibongo basi hiyo channel hutaiipata mpaka match iishe ai itakuwepo inakata kila seconds nikajaribu hata kumtxt toka kwenye app maana alikuwa anapokea comments,mengine aliyatolea majibu ya jinsi ya kuboresha ila hilo LA match local hakuwahi jibu,
Napenda kumjulisha developer huyu kuwa namkubali sana na kazi yake ila anatakiwa kufanya kazi zaidi vinginevyo hatutaacha kuangalia Mobdro na kuipotezea app ya mzawa mwenzetu kutokana na makosa madogo madogo ambayo najua kwa uwezo wake anaweza fix.
 
Back
Top Bottom