Apigwa na askari hospitalini akisubiri kununua dawa za mama yake mzazi katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga

Hao vijana wanakuwaga na stress za maisha yani... Kazi ya ulinzi wanafanya bhasi tu hata haogopi kupoteza kazi
 
Kwahio story ikibalance walinzi wanakibali chakukutandika ngumi?
Wewe bwege!
Maana ya balanced story ni kuujua ukweli toka upande wa pili huenda huyo anaedaiwa kupigwa ndie alianza kupiga au kuna lingine zaidi ya kuchelewa kutoka wodini.
Pia malipo kwa gharama za mgonjwa hayafanyiki wodini bali kwenye dirisha la malipo.

Henda hilo jamaa ni wale wezi wanawaibia wagonjwa waliolazwa wodini vitu kama simu,pesa na kadhalika.
Halafu akakimbilia humu JF kuleta thread yeye mwenyewe halafu majuha tunadandia na kuanza bofya bofya bila kuujua ukweli.

Story balancing ndio msingi wa ETHICS za utoaji na uandishi habari.

Acha UFALA!
 
Basi kwakuwa amewasamehe ni bure kwake kuingia hospital hiyo muda wowote atakao na kutoka atakavyo. Mitano tena. Watapata taabu sana.
 
Wewe bwege!
Maana ya balanced story ni kuujua ukweli toka upande wa pili huenda huyo anaedaiwa kupigwa ndie alianza kupiga au kuna lingine zaidi ya kuchelewa kutoka wodini.
Pia malipo kwa gharama za mgonjwa hayafanyiki wodini bali kwenye dirisha la malipo.

Henda hilo jamaa ni wale wezi wanawaibia wagonjwa waliolazwa wodini vitu kama simu,pesa na kadhalika.
Halafu akakimbilia humu JF kuleta thread yeye mwenyewe halafu majuha tunadandia na kuanza bofya bofya bila kuujua ukweli.

Story balancing ndio msingi wa ETHICS za utoaji na uandishi habari.

Acha UFALA!
Kwa uandikaji wako ni lazima utakua unanuka mdomo
Pili wewe ni sadist mlinzi uliekosa kibarua jeshini sasa umejawa na uchungu na makasiriko yasiyokifani.
 
Wakuu mambo yanazidi kunoga nchini Tanzania, baada ya vipigo kwa raia kurasimishwa rasmi.

Video hii inawaonyesha wanaodaiwa kuwa walinzi wa hospitali ya Mkoa wa Shinyanga wakimtandika bila huruma mtu aliyedaiwa kuzidisha muda wa kuona wagonjwa.

Wewe bwege!
Maana ya balanced story ni kuujua ukweli toka upande wa pili huenda huyo anaedaiwa kupigwa ndie alianza kupiga au kuna lingine zaidi ya kuchelewa kutoka wodini.
Pia malipo kwa gharama za mgonjwa hayafanyiki wodini bali kwenye dirisha la malipo.

Henda hilo jamaa ni wale wezi wanawaibia wagonjwa waliolazwa wodini vitu kama simu,pesa na kadhalika.
Halafu akakimbilia humu JF kuleta thread yeye mwenyewe halafu majuha tunadandia na kuanza bofya bofya bila kuujua ukweli.

Story balancing ndio msingi wa ETHICS za utoaji na uandishi habari.

Acha UFALA!
Kama mganga mkuu kasema limetokea kweli uhoji nini!?

Mhanga huyo alipohojiwa alikiri kuzidisha muda uliopangwa ili kuona wagonjwa lakini anadai kwamba kilichomchelewesha ni kusubiri taarifa ya gharama za matibabu ya ndugu yake ili mipango ya malipo ifanywe.
Hawa maafande wafundishwe kuhoji mtu,maana kwa mwendo huu wataongeza wagonjwa wasio wa lazima kwa vipigo.
 
Subiri nikipata fursa nitakuewekea hizo video za mnavyo charazwa viboko na viongozi wakiwemo hata viongozi wa kike, mnaitia Afrika aibu kwa kweli...hehehehe

Mbona na nyie mnacharazwa na wachovu Alshabab na hatusemi!! 🤣
 
Alshabaab ni vita vya ugaidi kama tulivyoona kule kusini Watanzania wanachinjw kama mbuzi, ni kitu cha kukemewa na kila mmoja, ila hili la kiongozi mwanamke kucharaza viboko wanaume wenye miraba miine, mijitu mnaitia Afrika aibu...
Ntakuletea hiyo video nikipata fursa ila kwa sasa burudika na hii nyingine uone mlivyoo hovyoo

Narudia kusema tena kwamba Nyani haoni kundule.

Kama kucharazwa viboko ni kukosa uhuru na aibu mbona nyie mnaye "Uhuru" na bado hampo huru?!!

Angalia jinsi mnavyodai uhuru wenu kutoka kwa Uhuru. Mnatia aibu🤣

Screenshot_20210123-113821.png
 
Wewe bwege!
Maana ya balanced story ni kuujua ukweli toka upande wa pili huenda huyo anaedaiwa kupigwa ndie alianza kupiga au kuna lingine zaidi ya kuchelewa kutoka wodini.
Pia malipo kwa gharama za mgonjwa hayafanyiki wodini bali kwenye dirisha la malipo.

Henda hilo jamaa ni wale wezi wanawaibia wagonjwa waliolazwa wodini vitu kama simu,pesa na kadhalika.
Halafu akakimbilia humu JF kuleta thread yeye mwenyewe halafu majuha tunadandia na kuanza bofya bofya bila kuujua ukweli.

Story balancing ndio msingi wa ETHICS za utoaji na uandishi habari.

Acha UFALA!
hawa wajuaji ndio hata huwa wanachapwa viboko na mdc.

unapewa utaratibu unaanza mambo mengi kama dalali.ukirekebishwa unaanza siasa za majukwaani,utatandikwa sana.

sawa hawa vijana wako frustrated lakini si kiasi cha kupiga tu mtu aliyechelewa kutoka wodini.
 
Huyo anayepigwa alitakiwa angevunja pumb* za huyo mlinzi.
Yaani wanipige halafu hata mmoja nisimtoe damu haiwezekani labda wangeniulia hapohapo.
 
Narudia kusema tena kwamba Nyani haoni kundule.

Kama kucharazwa viboko ni kukosa uhuru na aibu mbona nyie mnaye "Uhuru" na bado hampo huru?!!

Angalia jinsi mnavyodai uhuru wenu kutoka kwa Uhuru. Mnatia aibu🤣

View attachment 1684047

Haipaswi ucharazwe viboko na kiongozi mwanamke, jibaba lenye miraba miine unalazwa sakafuni na kupigwa viboko, ila mbona mko legelege hivyo, yaani bure kabisa....hehehe hadi raha tena mcharazwe sana maana mumeitia Afrika aibu.
 
Hizi Stress za kishindo cha awamu ya tano zitakuja kuuwa watu.

Yaani utu umepungua kabisa miongoni mwetu.

Bwana Mlinzi, hiyo kazi si umechagua mwenyewe, hizo hasira kwa wagonjwa na wageni wao zimetoka wapi??

Mitano tena 🖐
 
Haipaswi ucharazwe viboko na kiongozi mwanamke, jibaba lenye miraba miine unalazwa sakafuni na kupigwa viboko, ila mbona mko legelege hivyo, yaani bure kabisa....hehehe hadi raha tena mcharazwe sana maana mumeitia Afrika aibu.

Wewe umekosa cha kuandika ndiyo maana umeshupalia huo upuuzi.

Unashangaa watu waliopewa mamlaka ya kufanya kazi hiyo?? Kama wasingepewa mamlaka hapo ndipo ungehoji na ningekuona wa maana sana.

Unasema jambo hilo ni aibu kwa Africa!!?, wewe umeiona aibu ya Kenya duniani??!

Ukabila ni aibu ya Kenya duniani, huo ukabila wenu ulisababisha watoto Yatima kulelewa na mbwa, kwani haiingii akilini kwa mwenye akili isemwe kwamba Kenya nzima alikosekana mwanamke wa kuwanyonyesha hao watoto.

Ukabila ndiyo aibu ya dunia inayowatafuna hadi mnashindwa kunyonyesha mayatima, mnashindwa ukarimu na Mbwa??!🤣🤣

Screenshot_20210123-134150.png
 
Back
Top Bottom