Aphrodisiac-fuelled sex on rise in northern Nigeria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aphrodisiac-fuelled sex on rise in northern Nigeria

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kaizer, Jun 17, 2009.

 1. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,649
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280

  My take: Vipi wakuu hii hali mnaonaje mintarafu ndoa za mke zaidi ya mmoja, kuna hatari huku kwetu tukafikia huko?

  Nini maoni yenu akina dada/mama kuhusu mume anayetumia hizi dawa? ungependa mume wako atumie miti shamba hii au viagra za wazungu?

  je matumizi ya hizi dawa kwa kina mama/dada hapa kwetu yapo tayari au bado bado?

  source: Aphrodisiac-fuelled sex on rise in northern Nigeria - Yahoo! News
   
Loading...