Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 457
PM imewapa watu wachumba, imewapa one-night stand, PM imewapa watu wafadhili wa masomo..kupitia PM watu wamenegotiate biashara, PM imewafanya watu wawe karibu zaidi binafsi binafsi, Pm imewapa watu mambo ya siri amabyo huwezi yaona kwenye post na thread za kawaida. PM ndani ya JamiiForum ndio the best feature ever innovated, apewe hongera aliyebuni hii kitu.