manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,723
Jamaa ni mpenzi sana wa facebook kila siku jioni yupo busy facebook,Mi huwa namshangaa sana sababu mi inaweza pita hata mwezi sija log in huko.
Juzi kati kanionyesha binti mmoja anachat nae na walikuwa kwenye final talk kuwa huyo binti aje kwa jamaa.
Binti anasoma SAUT so wameshawekana sawa kwamba yule msichana akitoka mwanza atapitia Arusha kwa jamaa kwa siku kadhaa kabla ya kwenda kwao Moshi na hivi sasa wanaitana Dear,Honey na majina mengine matamu sana...
Jamani hivi inakuwaje mtu unamwamini mtu kwa kiwango kikubwa hichi hata umfahamu na yeye hakufahamu jamani,Nyie mabinti wa vyuo ni kwa nini mnakuwa cheap in town namna hii jamani?
Mbaya zaidi picha jamaa alizoweka huko facebook si picha zake halisi na hata infor alizoweka si zake halisi sa yule binti pindi atakapo fika ARUSHA sijui atazimia atakapomuona jamaa aliyekuwa anachat naye sivyo alivyo kabisa.
Kweli nimekua nimeyaona mengi na hata hili kwangu ni jipya lingine.
Nitaendelea kuwajuza binti atakapofika Arusha coz yupo on the way from Mwanza...