Apata girl friend kupitia facebook......

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,064
10,722
Jamaa ni mpenzi sana wa facebook kila siku jioni yupo busy facebook,Mi huwa namshangaa sana sababu mi inaweza pita hata mwezi sija log in huko.

Juzi kati kanionyesha binti mmoja anachat nae na walikuwa kwenye final talk kuwa huyo binti aje kwa jamaa.
Binti anasoma SAUT so wameshawekana sawa kwamba yule msichana akitoka mwanza atapitia Arusha kwa jamaa kwa siku kadhaa kabla ya kwenda kwao Moshi na hivi sasa wanaitana Dear,Honey na majina mengine matamu sana...

Jamani hivi inakuwaje mtu unamwamini mtu kwa kiwango kikubwa hichi hata umfahamu na yeye hakufahamu jamani,Nyie mabinti wa vyuo ni kwa nini mnakuwa cheap in town namna hii jamani?

Mbaya zaidi picha jamaa alizoweka huko facebook si picha zake halisi na hata infor alizoweka si zake halisi sa yule binti pindi atakapo fika ARUSHA sijui atazimia atakapomuona jamaa aliyekuwa anachat naye sivyo alivyo kabisa.

Kweli nimekua nimeyaona mengi na hata hili kwangu ni jipya lingine.
Nitaendelea kuwajuza binti atakapofika Arusha coz yupo on the way from Mwanza...
 
Dah! hii imenikumbusha mbali nami nshapata kwenye simu long time sana, alikuwa na sauti nzuri naimagine ni mkaka kaenda hewani ,black,handsome, akatoka iringa kunifata Arusha khaaaaaaaa!!!!!!!!alivotokea ni kituko........
 
Hhaahahahaa ila nyie mabinti assumption zita-wacost sana.
 
zina-cost si kidogo teh! teh!
"Mrefu,black,handsome,-----oooook!!hope toka wakati huo bado upo upo ila this time umempata mwenyewe haswaaa!! Onet is your final choice,uko wapi kimwana,sweetie,honey na mimi nianze kukufatafata? Arusha ya unga ltd au matejoo?niambie chap nidandie ki hiace nije nikuoe darling,ungenijibu mapema ingekuwa poa ili nimshtue kabisa mchungaji atuwekee nafasi ya kufunga ndoa kesho pale kanisa la uunganisho,honeymoon tunaenda zetu kwa mromboo,kwa raha zetu,fanya hivyo dia!!mmwah
 
Jamaa ni mpenzi sana wa facebook kila siku jioni yupo busy facebook,Mi huwa namshangaa sana sababu mi inaweza pita hata mwezi sija log in huko.

Juzi kati kanionyesha binti mmoja anachat nae na walikuwa kwenye final talk kuwa huyo binti aje kwa jamaa.
Binti anasoma SAUT so wameshawekana sawa kwamba yule msichana akitoka mwanza atapitia Arusha kwa jamaa kwa siku kadhaa kabla ya kwenda kwao Moshi na hivi sasa wanaitana Dear,Honey na majina mengine matamu sana...

Jamani hivi inakuwaje mtu unamwamini mtu kwa kiwango kikubwa hichi hata umfahamu na yeye hakufahamu jamani,Nyie mabinti wa vyuo ni kwa nini mnakuwa cheap in town namna hii jamani?

Mbaya zaidi picha jamaa alizoweka huko facebook si picha zake halisi na hata infor alizoweka si zake halisi sa yule binti pindi atakapo fika ARUSHA sijui atazimia atakapomuona jamaa aliyekuwa anachat naye sivyo alivyo kabisa.

Kweli nimekua nimeyaona mengi na hata hili kwangu ni jipya lingine.
Nitaendelea kuwajuza binti atakapofika Arusha coz yupo on the way from Mwanza...

Achana nae kama rafiki ?he lives double lives na he is a psychopath ( picha sio Zake waw that is crazy )
 
Hahahaaa.... Haya mambo yameshatutokea wadada weeengi..!!

Hata mimi niko kwenye mikakati ya kuonana na kaka mmoja wa hapa JF..

Kisa... Nimevutiwa na Avatar ambayo najua kabisa siyo picha yake..Lol
kuna nyingine tena kwako zaid ya hii jf?
 
Hahahaaaaaaaaaa!

Blind dates hizi, ni nomaaaaaaaaaa! Moshi na arusha sio mbali atapanda costa fasta na kutimba moshi!

Mimi blind dates are never my thing, watu naowajua majority yao wananiturn off kabisaaaaaaaaaaa! Je hao nisiowajua si ndo balaaaa!
 
"Mrefu,black,handsome,-----oooook!!hope toka wakati huo bado upo upo ila this time umempata mwenyewe haswaaa!! Onet is your final choice,uko wapi kimwana,sweetie,honey na mimi nianze kukufatafata? Arusha ya unga ltd au matejoo?niambie chap nidandie ki hiace nije nikuoe darling,ungenijibu mapema ingekuwa poa ili nimshtue kabisa mchungaji atuwekee nafasi ya kufunga ndoa kesho pale kanisa la uunganisho,honeymoon tunaenda zetu kwa mromboo,kwa raha zetu,fanya hivyo dia!!mmwah
Ha ha ha aaaaah wapi usiniingize cha kiume mie.....
Nikakutana na kituko tena!!
 
Hahahaaaaaaaaaa!

Blind dates hizi, ni nomaaaaaaaaaa! Moshi na arusha sio mbali atapanda costa fasta na kutimba moshi!

Mimi blind dates are never my thing, watu naowajua majority yao wananiturn off kabisaaaaaaaaaaa! Je hao nisiowajua si ndo balaaaa!
jaribu kwangu ,hutajutia lara 1 ,mototo ya mujini mzaramo aliyefundwa
 
Mmmmmmmmmmh! For the record MIMI SIO MZARAMO!!!!!!!!!! Tafadhaliiiiiii! Nitake radhi! Wakwetu wakikusika wataamndamana!

Toa sifa zako kuu kwanza ili nione manake si wajua sumu haijaribiwi kwa kulambwaaaaaa!
 
Niliwahi kuwa na blind date moja,loh! Mdada ana sauti nzuri, nyororo na anajua kubebeleza huyo. Nikawa naimagine ni mrefu, nyonga pana, chuchu saa sita! Siku ya kukutana sasa,... Bahati nzuri nilimwambia tukutane stend ya mwenge hivyo nikaweka silent na kumsikilizia anayepiga. Akipiga nakata naangalia, wee, toka siku hiyo hata msichana akosee namba naifuta na kuweka cmu pembeni. Maana wanakoseaga mara tatu tatu akisikia sauti ya mwanaume.
 
Kumbe hata kuonana bado, hayo majina ana uhakika kuwa ni yeye tu huwa anaitwa? Chezea facebook na mitandao mingine ya kijamii wewe
 
Mmmmmmmmmmh! For the record MIMI SIO MZARAMO!!!!!!!!!! Tafadhaliiiiiii! Nitake radhi! Wakwetu wakikusika wataamndamana!

Toa sifa zako kuu kwanza ili nione manake si wajua sumu haijaribiwi kwa kulambwaaaaaa!
ha ha ha ha ha ha! niwie radh na if you dont mind nisaidie kuweka record vizurii,,,,,, wewe unataka sifa zipi hasa ? physical appearance au?
 
Jamaa ni mpenzi sana wa facebook kila siku jioni yupo busy facebook,Mi huwa namshangaa sana sababu mi inaweza pita hata mwezi sija log in huko.

Juzi kati kanionyesha binti mmoja anachat nae na walikuwa kwenye final talk kuwa huyo binti aje kwa jamaa.
Binti anasoma SAUT so wameshawekana sawa kwamba yule msichana akitoka mwanza atapitia Arusha kwa jamaa kwa siku kadhaa kabla ya kwenda kwao Moshi na hivi sasa wanaitana Dear,Honey na majina mengine matamu sana...

Jamani hivi inakuwaje mtu unamwamini mtu kwa kiwango kikubwa hichi hata umfahamu na yeye hakufahamu jamani,Nyie mabinti wa vyuo ni kwa nini mnakuwa cheap in town namna hii jamani?

Mbaya zaidi picha jamaa alizoweka huko facebook si picha zake halisi na hata infor alizoweka si zake halisi sa yule binti pindi atakapo fika ARUSHA sijui atazimia atakapomuona jamaa aliyekuwa anachat naye sivyo alivyo kabisa.

Kweli nimekua nimeyaona mengi na hata hili kwangu ni jipya lingine.
Nitaendelea kuwajuza binti atakapofika Arusha coz yupo on the way from Mwanza...

Hapo penye red.....jamaa ana chapaa? hayo mengine ya sura sijui na uzee kina dada hawana shughuli nayo kabsaa!!!!!
 
skype haifanyi kazi? atakuja kuonana na Jini shauri yake au apelekwe kwenye kafara
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom