Apartment inapangishwa


B

bobycasablanca

Member
Joined
Nov 25, 2013
Messages
56
Likes
0
Points
13
B

bobycasablanca

Member
Joined Nov 25, 2013
56 0 13
Apartment inapangishwa iko regent mikocheni ina vitu vyote vya ndan( full furnished) e.g sofa t.v fridge,vin'gamuzi vyote including dstv,.na mengineyo, ina sebule, vyumba viwili self contained, na jiko, iko kwenye nyumba ya gorofa yenye apartment 6 na kwa sasa hivi imebaki moja haina mteja kati ya hizo 6, kuna maji ya uhakika, standby generator, ulinzi muda wote, parking kubwa ya kutosha,
Bei yake ni $ 1600 kwa mwezi
Ukitaka kuiona wasiliana nami kwa sim namba 0716 85 06 95
 
SAWEBOY

SAWEBOY

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2011
Messages
227
Likes
77
Points
45
SAWEBOY

SAWEBOY

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2011
227 77 45
subiri muda sio mrefu wenye mawe ya kutosha watakupigia! sisi watoto wa ganga njaa tunaendelea kuishi huku uswazi kwenye mbavu za mbwa!
 
Kiwa

Kiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Messages
2,112
Likes
206
Points
160
Kiwa

Kiwa

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2011
2,112 206 160
duh me nikajua 160,000/=.
kama vipi toa vitu vyako halafu tuongee bei
 
Emma Lukosi

Emma Lukosi

Verified Member
Joined
Jul 22, 2009
Messages
931
Likes
9
Points
35
Emma Lukosi

Emma Lukosi

Verified Member
Joined Jul 22, 2009
931 9 35
:bored:
Ngoja ninawe uso kwanza..
 

Forum statistics

Threads 1,238,898
Members 476,226
Posts 29,336,070