House4Rent Kwa Mahitaji ya Nyumba, Vyumba na Viwanja karibu hapa

Komba03

Member
Mar 19, 2019
94
72
Ni Apartments zenye nyumba Nne za Ghorofa ( Up &Down ) Ndani ya Fence yenye eneo kubwa na lenye utulivu wa kutosha, Huduma zote muhimu (Maji ya Dawasco, Umeme na barabara inayopitika vizuri 300m etres kutoka main Road!)
Nyumba ya juu: Vyumba vitatu vya kulala, Sebule, Dining, Jiko na Choo. 500k per month!
Nyumba ya chini: Vyumba viwili vya kulala, Sebule, jiko na choo. 450k per month!
Bei zote Zina mazungumzo!! Call 0743941142.
IMG_20190601_182913.jpeg
IMG_20190601_182904.jpeg
IMG_20190601_182954.jpeg
IMG_20190601_182943.jpeg
 
Nilikimbilia nikidhani ni bachelor apartments!! Ila kama mtu anataka hizo za 450K, si bora tu aongeze 50K na kuchukua hizo za 500K potelea mbali hata kama chumba kitabaki tupu!! Baby Khantwe, hizi hapa vipi baada ya kuzikosa zile za Mbezi?

All in all, ni beautiful apartments!
 
Nilikimbilia nikidhani ni bachelor apartments!! Ila kama mtu anataka hizo za 450K, si bora tu aongeze 50K na kuchukua hizo za 500K potelea mbali hata kama chumba kitabaki tupu!! Baby Khantwe, hizi hapa vipi baada ya kuzikosa zile za Mbezi?

All in all, ni beautiful apartments!
Kwa nini ukimbilie bachelor apartments wakati tupo double
 
Kwa nini ukimbilie bachelor apartments wakati tupo double
Dah! Lakini kweli, inabidi pawe na chumba cha ziada kwa ajili ya house girl! Na jinsi ninavyokupenda, kazi ya kutafuta housegirl nitaifanya mimi mwenyewe ili nisikusumbue mpenzi wangu!
 
Ni kiwanja kizuri kwa makazi, kipo katika Hali nzuri (Tambarare) Kiwanja kipo karibu na Huduma zote za jamii, Ni eneo linaloendelea kwani kipo karibu na shule ya secondary!
Kiwanja kina square metre 1120. Bei ni 16m.
Kwa muhitaji call:0743941142.
IMG-20190614-WA0019.jpeg
IMG-20190614-WA0016.jpeg
 
Weka vipimo vyako vizuri.
Urefu ni mita ngapi na upana ngapi, Hiyo itawezesha mtu kujua ataweza kujenga nyumba ya ukubwa gani kufutana na ramani ya kiwanja ilivyokaa
Hayo mambo ya "square metre" mwenye kununua atapiga hesabu mwenyewe.
 
Nyumba yenye vyumba vitatu, sebule na choo pia ina frames 4 za biashara inauzwa Tabata liwiti mita 100 from main Road nyumba yenye eneo kubwa la square metre 1030. Nyaraka zote muhimu zipo.
Mawasiliano 0743941142
PhotoGrid_1564389319781.jpeg
IMG-20190703-WA0036.jpeg
IMG-20190703-WA0030.jpeg
 
Nyumba ktk apartment ya nyumba nne (Ghorofa) inapangishwa Makongo juu, Nyumba ina vyumba viwili kimoja master bedroom, sebule, jiko la kisasa na choo! Parking ya kutoshaaaa na Maji Safi ya dawasco yanapatikana!
Ipo meter chache kutoka barabara kuu! Kodi inalipwa miezi sita! 450per month! For more info 0743941142.
IMG_20190920_175212.jpeg
IMG_20190920_175229.jpeg
IMG_20190920_175419.jpeg
IMG_20190920_175556.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom