apaa apaaaaa paa hodiiiiiiiiiiiiiiii + nakuomba msamaha PAW

Miaka 2?!hata mi ningejiunga upya!!inaonekana ulifanya kosa kubwa kuliko kawaida
 

Jifunze kutumia busara unapoandika, ukiongea tutakubali ni hasira. Lakini ukiandika, tutajiuliza, Ni hasira kweli?? kaandika, kasoma tena, kapost, anaweza aka edit, anaweza akafuta. bado hakufanya yote hayo.
Yote kwa yote. Karibu jf. Punguza hasira.
 
Dah!ban ya miaka miwili mkuu,inaelekea umefanya kosa kubwa sana,wenzio 2napgwaga ban ya cku kadhaa tu.
 
yaani badala ya miaka miwili ulimefungiwa siku tatu tu..!!?? kweli paw kaokoka. karibu. mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom