apa kuna ka ukweli ndani yake ata kama wana JF tukijifanya wabishi kukubali,ebu tazama

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
28035_537444256283580_1702595632_n.jpg

watoto wanaozaliwa ulaya,asia na marekan wana opportunity nyingi za kuwawezesha kuishi maisha mazuri kuliko africa,na ndio maana juzi kuna jarida la kimataifa lilitoa nchi bora zaidi za kuishi
 
Back
Top Bottom