kisimbomeck
Member
- Sep 9, 2016
- 35
- 18
Habari ya kazi, Mimi nimeitwa interview hii taasisi ya aolconsultants lakini wamenitumia Sms ya kawaida kuwa nimekua short-listed kwa ajili ya interview, wakaniekekeza niangalie email wamenitumia, sasa nimegangaika kila nikifungua email yangu Hakuna email yeyote, je Kuna mtu ambaye ameitwa interview ili anipatie na Mimi mwelekeo kuwa hiyo interview ni lini na wapi na Sa ngapi,
Ahsante Sana
Ahsante Sana