careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,646
Kwa maelezo haya nadhani hata ukiwa na milion mbili unaweza kujaza duka! Kwasabu kama mafuta ya african dream yanauzwa elf 30 ukiweka laki mbili hapo inatosha kabisa! Kuna mafuta ya kupata yanauzwa elf kumi maduka ya rejareja manake jumla inaweza isizid elf sana ukiweka laki hapo una mafuta ya kutosha kabisa,Asante sana mkuu. Unaweza kutupa makadirio ya mtaji wa kuanzisha duka la kawaida la vipodozi na jinsi linavyozalisha? Natanguliza samahani kwa usumbufu lakini
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app