Anza biashara yako sasa, mtaji mdogo sio kigezo.

bereng

Senior Member
Feb 5, 2013
114
21
Wana JF,
Leo napenda kuwashirikisha njia ya kisasa ya kuongeza kipato kupitia mfumo wa biashara ya karne ya 21 ambayo imeelezwa na waandishi wengi kama vile milionea Robert T. Kiyosaki aliyendika kitabu cha Rich dad Poor dad. Ameelezea huu mfumo wa biashara katika kitabu kiitwacho `the Business of 21[SUP]st[/SUP] century` pamoja na wengine wengi kama Paul Zane Pizer.

Msingi wa hii biashara ni kushirikishana habari kuhusu bidhaa au huduma Fulani inayotolewa na kampuni halafu unanufaika na kutengeneza kipato. Lakini una uhuru wa kuanzisha kampuni yako `invisible company` ambapo utafanya biashara na kampuni na kutanua wigo wa biashara yako kwa kuwekeza muda wako kuwafundisha wengine biashara ambao watakuwa washiriki wako kwenye biashara kwa kuwa na kipato kisichokuwa na kikomo.

Kuna faida nyingi sana za kufanya hii biashara zikiwemo:

  • . Mtaji kidogo. Hii biashara haihitaji mtaji mkubwa sana. Mtaji unaoweza kuanza nao ni M. 1. 5 kima cha juu.
  • . Mafunzo ya biashara bure. Kampuni imeandaa mfumo mzuri wa biashara ambapo utapata mafunzo ya biashara na usaidizi wa karibu hadi uwe na uwezo wa kusimama na kuitanua biashara yako kitaifa au hata kimataifa.

  • Flexibility. Hapa nazungumzia uhuru wa kupanga muda wako katika kuifanya biashara yako. Unaweza kuifanya kwa muda wako wa ziada angalau masaa 10 kwa wiki au unaweza kuamua kuifanya kwa muda wako wote.
  • Vipato vikubwa. Ni biashara ambayo itakupa vipato vikubwa ndani ya muda mfupi sana ukilinganisha na biashara zingine nyingi. Jitihada zinahitajika ili kuijenga biashara yako iweze kukua na kukupa faida kubwa. Kitu cha msingi ni kuwa na uelewa mkubwa wa hii biashara.
  • . Uwezo wa kuikuza biashara yako mahali popote pale duniani. Hii ni fursa ambayo unaipata katika hii biashara bure kwa kufanya biashara na watu sehemu nyingine duniani bila ugumu hata pengine wewe usipokuwepo huko.
  • . Inarithika. Kitu ambacho nakipenda sana katika hii biashara ni kuweza kuirithisha. Utakapoishia ndipo Yule mrithi wako ataanzia na kuendeleza.
  • Ina rasilimali muda `leverage` hii ni siri kubwa sana ya mafanikio katika biashara yeyote kubwa na ndio msingi wa mafanikio. Watu wote waliofanikiwa katika biashara zao kubwa ni wazi kuwa wamewekeza katika rasilimari muda.
  • . Ni njia pekee ya kumiliki biashara kubwa. Hii biashara ina sifa zote za biashara kubwa, biashara yeyote kubwa ina mambo makuu 3 yafuatayo; Bidhaa/huduma, mfumo pamoja na Timu au watu wanaofanya kazi. Kwa Tanzania ili biashara iitwe kubwa lazime uwe na watu kuanzia 100 wanaokufanyia kazi. Kidunia idadi inayotakiwa ili iitwe biashara kubwa ni kuanzia watu 500. Lakini hii biashara unawez kuwa idadi kubwa zaidi ambapo utakuwa na watu ambao hujawaajiri wala huwalipi mshahara ila umewekeza muda wako kuwafundsha biashara ili wafanyye kile unachofanya waweze kufanikiwa nawe ufanikiwe maradufu.
  • . Ni biashara ya kisasa ambayo inakwenda na wakati. Kila fursa ina wakati wake. Huu ndio wakati muafaka wa hii fursa. Hapa kwetu Tanzania imeanza muda sio mrefu sana lakini imebadilisha maisha ya watu wengi.
  • . Imejengwa katika dhana ya DUPLICATION ambayo kwa mujibu wa Mwanasayansi Robert Einstein aliandika katika moja ya vitabu vyake kuwa; mfumo wowote unaobeba dhana hii itakuwa ni maajabu ya 8 ya dunia.

Ziko faida nyingi sana na kuna picha kubwa sana ya biashara ambayo unatakiwa kuielewa kama wewe ni mtu makini, una ndoto kubwa na unahitaji mabadiliko ya kweli katika maisha yako. Jukumu letu ni kukusaidia na kukuongoza ili kuhakikisha unafanikiwa. Kama umevutiwa na unapenda kujua zaidi kuusu biashara hii. Nipigie simu 0768 955 185, ili tupange appointment tukutane nikuoneshe marketing plan yetu ili ukipenda tuanze biashara. Ila nahitaji watu ambao wako serious tu ndio wanipigie simu. Asante
 
mleta uzi kanusha au kubali majina yaliyo hao juu, maana nataka nikupigie labda biashara hiyo itakuwa mpya tofauti na zilizotajwa
 
Are You Struggling to Succeed in MLM?" 2 top industry experts with over 65 years of combined network marketing experience reveal a proven formula for MLM success! Discover the "5 Rules" and their "6 Parameters Formula" plus Robert Kiyosaki of "Rich Dad, Poor Dad" fame reveals the name of a rapidly growing MLM company he recommends and why! Act now! Press HERE

Back
Top Bottom