Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,369
- 1,169
A Tanzanian guy born in brooklyn USA died in SA only at 49yrs old. The one and only named Rugemarila Mutahaba famous as Boss Ruge. Yanazungumzwa mengi sana kumhusu hasa kwa namna alivyogusa maisha ya wengi in a positive way kuanzia wanafamilia, his business partners, wafanyakazi wake na watu wake wa karibu waliokua nae into his daily activities mpaka kwetu sisi ambao hatujawahi hata kukutana nae ila kumsoma tu au kumwona katika TV na kumsikia kwa radio na kuongea kwenye semina na makongamano mbali mbali.
Kwa tension na publicity gain kutokana na kifo cha ndugu yetu huyu kinadhihirisha namna gani alikua akiishi na watu hasa moyo wake wa kutaka kuwainua wengine na kutaka wafanikiwe.
Anything to learn from Ruge? Viongozi na watu mashughuli mbali mbali hapa nchini wamesikika wakimzungumzia Ruge kwa wanavyomfaham na ni nini wamejifunza kutoka kwake, kwa mwananchi wa kawaida si rahisi kupata platform kama hizo ukasema usikike sasa kwa kupitia thread hii nataka ufunguke nini umejifunza toka kwa maisha ya Ruge? Especially ukiwa kama kijana mwenzangu. Mwenzetu alama alioiacha itazidi kukumbukwa vizazi na vizazi hasa aliyoyafanya kwenye kiwanda cha muziki bongo and entertainment industry kwa ujumla wewe na mimi siku tukifa tutazungumzwaje? Tutaacha alama gani kwenye hii dunia? Kwenye kazi uifanyayo utaacha legacy ya namna gani? Utakumbukwa kwa lipi?
Anything to learn from Ruge?, what's your "take away" from his life? let's talk...
Sent using Jamii Forums mobile app