Anyonga wanawe wawili mkoani Tanga

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
Jamaa mmoja mkoani Tanga amewanyonga wanawe wawili kati ya watano baada ya kunyimwa mgao wa mirathi ya mkwe wake.
Jamaa alikuwa anaishi kwenye nyumba ya mama mkwe wake, na alipogundua hajapata mgao aliwachukua wanawe watano na kuwapeleka msituni saa saba usiku na kuanza kuwanyonga. Watoto wengine walikimbia baada ya kuona wenzao wakiuawa.
Source: Habari Radio One
 
Akili yake ni timamu kweli? nina shaka naye.
Kwa hiyo suluhicho pekee ni kuwauwa watoto wake, apate faida gani??//
 
Pole sana Mama watoto - But - You wonder - Saa saba usiku unawezaje kuwachukua watoto na kuwapeleka porini bila jamii ku-notice?
 
mh hilo jitu ni laana kum na huko porini liangamizwe na wanyama wakali,c lingeuza hata tigo km linasaka mkwanja? angetafta mtu amuwoweee mpaka basi,griiiii ahh
 
watu wanachanganyikiwa maisha magumu wanajiingiza kwenye madawa ya kulevya na bangi ili kutuliza hali za maisha matokeo yake ndio haya sasa kweli inasikitisha sana tumekua kama wanyama serikali inatakiwa iwe makini na watu wake!!unyama huu ukomeshwe kila siku watu wanaua watoto wao wa kuwazaa sijui itaisha lini hali hii
 
Duuh maskini..Mungu awaweke mahala pema peponi hao watoto. Inauma na kusikitisha sana jamani.
 
Back
Top Bottom