ANY one wit UPDATES&REVIEW QUESTIONS AND TRICKS ZA USAILI WA 24/08/2012 pale UDSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ANY one wit UPDATES&REVIEW QUESTIONS AND TRICKS ZA USAILI WA 24/08/2012 pale UDSM

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Troo, Aug 17, 2012.

 1. Troo

  Troo Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Naomba Mwongozo wa maswali au ushauri kuhusu interview aptitude test ya tarehe 24 mwezi
  huu pale Udms Yombo No5 na 6!!!?
   
 2. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mimi nimeitwa na hawa jamaa lakini sikuweza kuwajua vizuri ni watu gani maana nilikuwa bega kwa bega na bosi wangu kwa hiyo hata sikuweza kumuulizia alienipigia simu, tafadhari nijulishe muda ni saa ngapi na inatakiwa twende na viambatanisho gani, pia sikuipata fresh kampuni / taasisi hiyo maana si unajua katika kuhangaika tunatuma CV sehemu nyingi, please naomba ufafanuzi ndugu yangu
   
 3. c

  cielo Senior Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi pia nimeitwa, duh kumbe tupo wengi,ni GEPF, nimeitwa kwa nafas ya acountant, nimeambiwa niende na pen pensel na lula,
   
 4. Bandabichi

  Bandabichi JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanapiga simu au coz na mimi niliomba kwenye lile tangazo hakuandika kuwa ni GEPF ila waliandika the growing fund. Hongereni mlioitwa.
   
 5. c

  cielo Senior Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio, wanapiga simu
   
 6. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Ukisha ambiwa uje na peni na karatasi bila kusahau lula unataka nini tena? chukua vitini vyako vyote vya chuo vya professional yako kisha meza kimoja baada ya kingine. Ukimaliza jikumbushie vihesabu vidogovidogo vya ufahamu kama Variation, simple algebra. baada ya hapo usikae mbali na englishi hasa structure. Kiufupi maticulation paper ndo mfano wa unachokwenda kukutana nacho. Kama vipi na Mofimu za ngeli
   
 7. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Jamani naombeni kujuzwa muda wa kufika maana sikuwa makini maana nilikuwa na bosi wangu, please msaada wenu tafadhari
   
 8. NYAMALAWA

  NYAMALAWA Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Me pia nimepigiwa muda si mrefu,halafu wanasema yombo 6 wakati pale ud haipo,mwisho yombo 5
   
 9. c

  cielo Senior Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sa4 pepa ila wamesema ufke kabla ya sa 2
   
 10. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Merci beaucoup
   
 11. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hee mwisho yombo 5? Mimi nimesoma ud bt najua mwisho yombo 3.
   
 12. NYAMALAWA

  NYAMALAWA Member

  #12
  Aug 20, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wameongeza yombo mbili
   
 13. c

  cielo Senior Member

  #13
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bienvenue..
   
 14. S

  SYLIVERY New Member

  #14
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Naomba kuuliza, kwani hawa jamaa walitangaza nafasi ngapi? I mean posts walizotangaza kwenye tangazo lao la kukaribisha maombi zilikuwa ni ngapi? Anayezikumbuka anaweza kuziorodhesha kutukumbusha.
   
 15. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  mtiani wa kwanza ni kusoma ratiba
   
 16. ropam

  ropam Senior Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  we utakuwa wa 2010 kurudi nyuma mjomba...hata yombo cafeteria hujaiona acha niku-update, cafeteria ya hall 6 ilifutwa mjomba...ofisi za daruso ndo zilihamia hapo ilipokuwa cafe ya hall 6...kale kapori kalikokuwa mbele ya yombo three kalifyekwa, sasa hivi wameongezea yombo 4 na yombo 5...majengo ambayo yanafanana kabisa na theatre one&two sema haya yana ghorofa kama nkurumah....mjomba ile packing iliyokuwa pale katikati ya nyumba ya Mkandala na NBC bank imeanza kusongwa, kuna tuvibanda wanajenga pale nyuma sijui twa kazi gani...pale UDBS yanashushwa majengo ya hatari mjomba sijui yote ya kusomea yale au niaje (nisamehe kama uliondoka enzi udbs haijazaliwa)...mjomba unakumbuka lile eneo la wazi lililokuwa pale COET opposite na NMB bank...nimepita juzi nimekuta limezungushiwa mabati yani kuna ujenzi unaendelea sikufanikiwa kujua ni ujenzi wa nini unaendelea. Mjomba unakumbuka enzi zile za FASS, FIVE, FoS,IJMS, Bcom etc...hatuna tena enzi hizo, siku hizi wanaitwa CASS, COICT, School of law,SJMS, UDBS respectively....mambo yamebadilika sana mjomba, ukipata muda tembelea chuo chako cha zamani upate kujionea mwenyewe, ila pamoja na mabadiliko hayo yote kuna mambo bado hayajabadilika mpaka leo....tangu ile 1st class ya yule rafiki yako aliyemaliza miaka kadhaa mbele yako kitengo cha sheria, haijapata kutokea first class nyingne mpaka leo kwenye tasnia ya sheria, si unakumbuka ma-TO wa chuo walikuwa wanatokea sana science na mara chache economics, hiyo hali bado haijabadilika mpaka leo mjomba....nina mengi sana ya kukuandikia mjomba ila kwa leo naomba niishie hapa, panapo majaliwa nitakuandikia barua nyingine....Ubarikiwe sana Mjomba
   
 17. Penguin-1

  Penguin-1 JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hii ni kazi ya kwanza kabisa kuomba kwa kutuma barua posta na kuitwa,
  Peni ,Penseli na Rula saa 2 nipo yomboni---bahati iliyoje
   
Loading...