Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
swali liko void!
Mambo yako hivi: Uwezo wa mtu kujiajiri hutokana na kipaji au creativity yake. Hakuna uhusiano kati ya kozi uliyosoma na uwezo wa kujiajiri. Ukiwa creative hata ukisoma local government management unaweza kujiajiri.
Swali liko void!
Mambo yako hivi: uwezo wa mtu kujiajiri hutokana na kipaji au creativity yake. Hakuna uhusiano kati ya kozi uliyosoma na uwezo wa kujiajiri. Ukiwa creative hata ukisoma local government management unaweza kujiajiri.
Kusoma ni cheti au kuelimika na elimu kukuwezesha kufanya kazi..?..!!wakuu mimi nilikua nauliza ivi mtu anayesomea degree ya insurance and risk management au mtu anayesomea procurement and logistic management ni yupi anaeweza kupata ajira/kazi itakayo m-boost kwa haraka ili baadae ajiajiri?? Thanx
Swali liko void!
Mambo yako hivi: uwezo wa mtu kujiajiri hutokana na kipaji au creativity yake. Hakuna uhusiano kati ya kozi uliyosoma na uwezo wa kujiajiri. Ukiwa creative hata ukisoma local government management unaweza kujiajiri.
Swali liko void!
Mambo yako hivi: uwezo wa mtu kujiajiri hutokana na kipaji au creativity yake. Hakuna uhusiano kati ya kozi uliyosoma na uwezo wa kujiajiri. Ukiwa creative hata ukisoma local government management unaweza kujiajiri.
Somea uganga wa kienyejeji, ntakupa namba ya MKW'ERE utakula maisha.wakuu mimi nilikua nauliza ivi mtu anayesomea degree ya insurance and risk management au mtu anayesomea procurement and logistic management ni yupi anaeweza kupata ajira/kazi itakayo m-boost kwa haraka ili baadae ajiajiri?? Thanx
Well pointed out. Hakuna uhusiano kati ya Kozi uliyosoma na Ubunifu wako wa kujiajiri na kujituma kazini. Ushahidi unaonekana kila siku, Wasiosoma Biashara ndio huajiri wasomi wa biashara wakubwa na magwiji wa kuongoza kampuni zao.
okey, but why procuremnt?
Procurementthanks bro, lakini si lazima uwe na capital ndo ujiajiri?? je kati ya izo kozi mbili ni ipi nzuri kutengeneza capital nzuri?
<br />Kusoma ni cheti au kuelimika na elimu kukuwezesha kufanya kazi..?..!!
wakuu mimi nilikua nauliza ivi mtu anayesomea degree ya insurance and risk management au mtu anayesomea procurement and logistic management ni yupi anaeweza kupata ajira/kazi itakayo m-boost kwa haraka ili baadae ajiajiri?? Thanx